Habari za Burudani na Michezo

okwi-mtani jembe

Mtani Jembe, Yanga yapigwa 2-0.

SIMBA SC imeendeleza ubabe wake kwa mahasimu wao, Yanga SC katika mechi za Nani Mtani Jembe, baada ya jioni hii kuichapa mabao 2-0...