• SHERIA 17 ZA SOKA: Waamuzi walaumiwa kuziweka

• SHERIA 17 ZA SOKA: Waamuzi walaumiwa kuziweka

- in Michezo na Burudani

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara, ikifikia tamati ya mzunguko wa kwanza, mashabiki wa soka wametoa tathimni ya Ligi hiyo huku wakiwatupia lawama waamuzi kwa kutofuata sheria kumi na saba za soka.

Mashabiki hao, wamesema ushindani ni pale kila timu kuweza kuonyesha uwezo wao , hususan kwa timu ambazo zimepanda Ligi Kuu kuvitetemesha Vilabu vikubwa kwenye Ligi hiyo.

Mzunguko wa kwanza umefikia tamati na mashabiki wanatoa tathimini yao kuhusu ligi hiyo.

Ligi hiyo inafikia tamati mzunguko wa kwanza huku Simba na Yanga zikiwa zinakimbizana Kileleni mwa Ligi hiyo, na hivyo mapumziko haya ya timu zote 16 zitatumia muda huu kujirekebisha pale zilipokosea.

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Mtibwa Sugar yaiondosha Polisi Moro kombe la FA

Timu ya maafande wa Polisi Morogoro inayoshiriki ligi