Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani / Ujerumani uso kwa uso na Brazil Nusu Fainali Kombe la Dunia.

Ujerumani uso kwa uso na Brazil Nusu Fainali Kombe la Dunia.

Ujerumani Imesajili ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa katika mechi ya robo fainali.

Kufuatia ushindi huo dhidi ya Ufaransa ndiyo timu ya kwanza kuwahi kufuzu kwa nusu fainali katika mashindano manne ya kombe la dunia mfululizo .

Ujerumani ndiyo timu ya kwanza kufuzu kwa nusu fainali ya kombe la dunia huko Brazil.

Kufuatia ushindi huo Ujerumani watakutana na  Brazil ambayo imeitoa Colombia  kwa kuifunga 2-1 katika mchezo mwingine wa robofainali.

Kuhusu admin

Check Also

Arusha wasusia uchaguzi wa viongozi

Chama cha riadha mkoa wa Arusha kimepinga kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa shirikisho la …

Kuimarishwa uwanja wa Nyamagana

Mipango ya kuendeleza soka la vijana huenda ikawa na tija endapo tu serikali chini ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *