Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Habari

Habari

Majaliwa: Viwanda havitasimama kwasababu ya migogoro

SERIKALI imesema kuwa haita kubali kuendelea kusimamisha viwanda kwa sababu wa migogoro baina ya viwanda hivyo na vyama vya ushirika kwa maslahi ya watu wachache na kuwa viwanda vitaendelea kufanyakazi wakati matatizo yakishighulikiwa na serikali. Kauli hiyo inatolewa na waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa ambayo ameitoa alipo tembelea …

Soma Zaidi

Sikonge waaswa kutodharau zao za muhogo.

Wakazi Wilayani Sikonge, wameaswa kuondokana na dhana kuwa mazao ya muhogo na mtama ni kwa ajili ya watu maskini au wenye njaa. Wameelezwa kuwa mazao hayo ni mazao mazuri kama mengine lakini yakiwa na faida ya kuhimili ukame na ndio maana yanahimizwa kulimwa. Zao la muhogo ndio zao linaloweza kuliwa …

Soma Zaidi

Waziri Mkuu Majaliwa atua Iringa tayari kwenda Njombe.

​Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametua leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa tayari kuelekea mkoani Njombe kuendelea na ziara ya kikazi katika mkoa huo. Mhe. Majaliwa alilazimika kukatiza ziara yake mkoani njombe na kwenda Dar Es Salaam kwa shughuli ya kikazi. Mkoani Iringa Waziri Mkuu amepokelewa …

Soma Zaidi

Mtibwa Sugar yaiondosha Polisi Moro kombe la FA

Timu ya maafande wa Polisi Morogoro inayoshiriki ligi Daraja la Kwanza ngazi ya Taifa, imetupwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho, baada ya kushindwa kutamba mbele ya mahasimu wao, wakata miwa Turiani timu ya Mtibwa Sugar, kupitia mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulimalizika kwa timu zote mbili kutoka sare …

Soma Zaidi

Bodaboda watakiwa kuwafichua wahalifu.

JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya limeutaka umoja wa wafanyabiashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kwa jina bodaboda wilayani Tarime mkoani mara kuwafichua waendesha pikipiki wanao fanya vitendo vya uharifu nyakati za usiku ukiwemo ubakaji wa wanawake na kukimbia na pesa za chenchi za …

Soma Zaidi

Watuhumiwa TASAF wakamatwa.

Takribani kaya 50 za wilayani Kalambo mkoani Rukwa zimeamriwa kukamatwa mara moja zikituhumiwa  kunufaika na fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kinyume na malengo ya mradi wa kusaidia kaya masikini.

Soma Zaidi