Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Habari / Biashara na Uchumi (Ukurasa 10)

Biashara na Uchumi

Habari za uchumi na biashara kitaifa na kimataifa kutoka hapa Star TV Tanzania.

Wakazi Chato wamuomba Dk. Magufuli kuimarisha viwanda

Wakazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita wamemuomba Rais mteule wa Tanzania   Dokta John Pombe Magufuli kuhakikisha analitilia mkazo suala la viwanda ambalo ni mhimili wa maendeleo ambao unakuza uchumi wa wananchi na nchi kwa ujumla. Wameongeza kuwa zipo nguzo nyingine za maendeleo lakini hakuna hata moja inayoweza kushinda nguvu …

Soma Zaidi

Wadau barani Afrika wahimizwa kuchangamkia fursa za biashara

Wadau wa sekta ya uchumi barani Afrika wamehimizwa kuzichangamkia fursa za biashara na masoko kwa kuzingatia uwekezaji madhubuti ili kukuza uchumi wa nchi zao. Wito huo umetolewa jijini Nairobi na meneja masoko  wa kampuni ya Kenya airways Chris Diaz, akijielekeza zaidi kuzungumzia wajibu wa makampuni ya kibiashara barani Afrika kuzisaidia …

Soma Zaidi

Tanzania kutenga maeneo maalum ya kuzalisha ng’ombe.

Na Zacharia Mtigandi, Manyara.     Tanzania inatarajia kuanza kutenga maeneo ya maalumu ya kuzalisha ng’ombe wa maziwa ili kuzifikia nchini zingine za afrika mashariki zinazozalisha maziwa kwa wingi. Mikakati mingine ni kuboresha malisho ya mifugo ambayo uhaba wake unachangia uzalishaji mdogo wa maziwa. Uhaba wa malisho nchini inatajwa kuwa …

Soma Zaidi

Wafugaji Enduimet, Tingatinga wahimizwa kufuga kisasa.

Na Ramadhan Mvungi, Arusha.   Wafugaji katika vijiji vya Enduimet na Tingatinga Wilayani Longido Mkoani Arusha, wametakiwa kuboresha rasilimali mifugo walionayo ili mazao yakiwemo Nyama na Maziwa yanayotokana na mifugo hiyo yaweze kuingia katika ushindani wa soko la Afrika Mashariki.   Hamasa hiyo imetolewa wakati wafugaji wa jamii ya kimasai …

Soma Zaidi

Serikali yaunda kamati itakayoshughulikia wa wasafirishaji.

Na Lilian Mtono/ Edward Mbaga. Dar es salaam.   Waziri mkuu Mizengo Pinda ameunda kamati ya kudumu itakayokuwa ikishughulikia matatizo yote yanayohusiana na usafirishaji, ikiwa ni sehemu ya kumaliza migogoro ya mara kwa mara ya usafiri, huku serikali ikionya magenge yanayojihusisha na kuzuia watu kutumia usafiri wa jumuiya.   Serikali …

Soma Zaidi

TANTRADE yawaitwa Watanzania maonyesho ya biashara.

Na Epifania Magingo, Dar es Salaam.     Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TANTRADE imetoa wito kwa watanzania kujitokeza kushiriki kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa yanayotarajia kufanyika Mei mosi hadi Oktoba 30 mwaka huu mjini Milani nchini Italia.   Mkurugenzi wa Tantrade Jackline Maleko amebainisha hayo jijini Dar …

Soma Zaidi

Konsalt yakamilisha utafiti kampuni za kibiashara

Na Gloria Matola, Dar es Salaam.   Kampuni ya Konsalt iliyokuwa ikifanya utafiti kwa kampuni za kibiashara zinazotoa huduma kwa jamii katika sekta za afya, elimu, kilimo, maji na miundombinu imekamilisha utafiti wake wa miezi mitano kuhusu huduma zinazotolewa na taasisi hizo.   Utafiti huo umepata kampuni 9 zilizofanya vizuri …

Soma Zaidi

ATRC Arusha chazindua teknolojia ya mifuko.

Na Ramadhan Mvungi, Arusha. Kituo cha utafiti Afrika ATRC kilichopo Kisongo nje kidogo ya Jiji la Arusha, kimezindua teknolojia mpya ya mifuko ya kuhifadhia nafaka inayotajwa kusaidia kuzuia mazao hayo kushambuliwa na wadudu aina ya Dumizi.   Teknolojia hiyo pia inatajwa kuondoa hatari ya walaji kukumbwa na magonjwa ya saratani …

Soma Zaidi