Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Biashara na Uchumi (Ukurasa 2)

Biashara na Uchumi

Habari za uchumi na biashara kitaifa na kimataifa kutoka hapa Star TV Tanzania.

Wafanyabiashara walioificha sukari wafanyiwa maombi maalumu..

Askofu wa Good News for all Ministry Dokta Charles Gadi amefanya maombi maalumu ya kuwafungua wafanyabiashara wa sukari nchini walioficha bidhaa hiyo ili kuacha tabia hiyo inayowatesa watanzania. Kupitia maombi hayo ametoa siku tatu za kuwataka wafanyabiashara hao kuitoa sukari ambayo itahitajika zaidi hususani katika kipindi hiki ambacho waislamu wanatarajia …

Soma Zaidi

Wakazi wa Chimala Mbeya wabuni mikopo bila Riba

Wakazi wa Kata ya Chimala wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameanzisha utaratibu wa kukopeshana fedha za maendeleo bila riba ili kukabiliana na changamoto ya masharti magumu ya upatikanaji wa mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha nchini. Utaratibu huo unaoitwa NDILO huwawezesha wakazi hao kuchangishana fedha kila mwezi na kumpa mmoja miongoni …

Soma Zaidi

Wakulima Meru waanza kulima mboga mboga

Halmashauri ya Wilaya ya Meru Mkoani Arusha imelazimika kubadili kipaumbele cha mazao ya Kilimo, na sasa mkazo ni katika uzalishaji wa mazao ya mboga ikiwa ni mbadala wa Mahindi. Kutokana na mabadiliko hayo kwa hivi sasa zao la kipaumbele litakuwa ni mbogamboga kwaajili ya Lishe na kipato, na vile vile …

Soma Zaidi

Nchi za Afrika zatakiwa kuongeza bajeti za Kilimo

Wakulima wadogo kutoka nchi za Kusini na Mashariki mwa Bara la Afrika wameziomba Serikali za Nchi hizo kuongeza bajeti za kilimo ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi kupitia Kilimo ambacho kinategemewa na Mataifa mbalimbali Duniani. Wakulima hao kupitia Mtandao wa wakulima wadogo wa Nchi hizo ESAFF wanasema pia kunahitajika …

Soma Zaidi