Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Habari / Biashara na Uchumi (Ukurasa 20)

Biashara na Uchumi

Habari za uchumi na biashara kitaifa na kimataifa kutoka hapa Star TV Tanzania.

Serikali zatakiwa kushirikiana na Mashirika binafsi

Na Yahya Mohamed, Dar Es Salaam. Rais Barack Obama wa Marekani amesema suluhu pekee la kuimarisha Nishati ya Umeme kwa Afrika ni kwa serikali za mataifa hayo kufanya kazi kwa ubia na mashirika binafsi na Taasisi binafsi za kibiashara.   Rais Obama alisema katika ushirikano huo Marekani inakuwa mbia wa …

Soma Zaidi

Umoja wa Wakulima KANYOVU waanza kutumia vifungashio.

Na Richard Katunka, Kigoma. UMOJA wa wakulima wa vyama vya kahawa mkoani kigoma KANYOVU umeanza mchakato wa kufuinga kahawa iliyolimwa mkoani kigoma   katika vifungashio vidogo na kuvisamabaza ndani na nje ya nchi   Mpango huo unalenga kuifanya Kahawa hiyo itakayo kuwa katika mfumo punje ndogo za kusagwa kuitangaza ubora wa kahawa inayolimwa mkoani humo katika masoko …

Soma Zaidi

Dk. Mgimwa kufanyia kazi mapendekezo muswada wa sheria ya fedha.

Magreth Tengule Dodoma.   Waziri wa fedha Dokta William Mgimwa   amewasilisha Bungeni Muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2013 ambapo wabunge wamepata fursa ya kutoa maoni yao kuhusiana na muswada huo uliojadiliwa kwa siku moja ukiwa na marekebisho ya kodi katika bidhaa mbalimbali. Dokta Mgimwa alisema Muswada huo umezingatia ushauri na mapendekezo …

Soma Zaidi

Tanzania kujifunza matumizi sekta ya teknolojia

Na Josephine Shem, Dar Es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kuwa mkutano wa marais na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika utaiwezesha Tanzania kujifunza umuhimu wa matumizi ya sekta ya teknolojia kama kiungo muhimu cha kukuza uchumi.   Balozi Sefue aliyasema hayo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa …

Soma Zaidi

Wakulima, wafanyabiashara Mbeya walalamikia kukosa soko.

Na Amina Saidi, Mbeya. Wafanyabiashara na wakulima wa zao la Kabeji katika eneo la Simambwe Halmashauri ya wilaya ya Mbeya wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwajengea soko litakalowawezesha kuuza mazao yao kwa pamoja badala ya ilivyo sasa ambapo wanauza mavuno yao kwa abiria wa magari yanayopita katika eneo hilo.   Wakizungumza …

Soma Zaidi

Viongozi wakubwa duniani kukutana nchini.

Na Joyce Mwakalinga Dar Es Salaam. Viongozi wakubwa kutoka nchi mbalimbali duniani wanatarajia kukutana nchini katika mkutano wa majadiliano ya kiuchumi yanayolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi wenye tija baina ya mataifa mbalimbali.   Mpaka sasa Tayari baadhi ya viongozi hao wameanza kuingia nchini kwa ajili ya mkutano huo.   Mkutano …

Soma Zaidi