Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Biashara na Uchumi (Ukurasa 3)

Biashara na Uchumi

Habari za uchumi na biashara kitaifa na kimataifa kutoka hapa Star TV Tanzania.

Wanahisa CRDB waomba waongezewe gawio

Hisa crdb

Wanahisa wa Benki ya CRDB mkoani Mbeya wameuomba uongozi wa benki hiyo kuangalia uwezekano wa kuongeza kiasi cha gawio wanalopewa kutokana na uwekezaji wao kwenye taasisi hiyo ya fedha kutoka asilimia 35 ya sasa hadi asilimia 45. Wanahisa hao wamesema kutokana na mabadiliko ya thamani ya fedha na kupanda kwa …

Soma Zaidi

Wakulima Njombe wadai kupunjwa na walanguzi

Wakulima nchini wataendelea kupunjwa na walanguzi wanaonunua mazao kwa ujazo wa Lumbesa endapo Serikali haitaweka mikakati thabiti ya kuzuia ujazo huo kwa nchi nzima. Kukosekana kwa elimu ya matumizi sahihi ya vipimo vya mizani wakati wa uuzaji wa mazao ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuwapa nguvu walanguzi kuendelea kuwapunja wakulima. Ujazo …

Soma Zaidi