Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Habari / Biashara na Uchumi (Ukurasa 4)

Biashara na Uchumi

Habari za uchumi na biashara kitaifa na kimataifa kutoka hapa Star TV Tanzania.

Waziri Mahige awataka  Watanzania kutumia fursa za kibiashara

Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Agustine Mahiga amewataka watanzania  kuchangamkia fursa za kibiashara zinazoletwa na Mtangamano wa Afrika Mashariki kupitia mfumo wa utandawazi ili kuongeza ushindani wa kibiashara na kuleta maendeleo ya nchi kwa pamoja kwenye ukanda wa Afrika Mashariki. Balozi Mahiga amesema nchi moja moja haziwezi kumudu na …

Soma Zaidi

Wakulima Mbozi wataka gharama za pembejeo kupunguzwa

Wakulima wa zao la Kahawa katika Halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya wameiomba Serikali kupunguza utitiri wa kodi na gharama kubwa ya pembejeo za kilimo hicho ili waweze kunufaika na kilimo kama ilivyo kwa wakulima wa mazao mengine ya Biashara. Wamesema licha ya zao hilo kuwa miongoni mwa mazao …

Soma Zaidi

Serikali yatakiwa kulifanya zao la ufuta kuwa zao kuu la biashara

Serikali imetakiwa kuweka sera na mikakati thabiti ya kuliongezea thamani zao la ufuta kwa kuhakikisha kunakuwepo soko la uhakika pamoja na kupanga bei elekezi kwa wanunuzi wa zao hilo kama ilivyo katika mazao mengine. Zao hilo limeonekana kutopewa kipaumbele kutokana na kutokuwa miongoni mwa mazao makuu ya biashara hali inayochangia wakulima kulifanya kuwa zao …

Soma Zaidi

TPSF na TBS kuanza mchakato wa kuzingiiza bidhaa bora

  Taasisi ya Mfuko wa Sekta Binafsi TPSF kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania TBS zimeanza mchakato wa kutafuta bidhaa 50 za Tanzania (Made in Tanzania) ili kuingizwa kwenye Soko Huru la Ukanda wa Afrika. Mchakato huo unafanyika kwa kujumuisha na kuzifanyia uchunguzi bidhaa zote zinazozalishwa nchini ukizingatia vigezo …

Soma Zaidi

TEWUTA chamuomba Rais Magufuli kuiwezesha TTCL

Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania TEWUTA kimemuomba Rais John Magufuli kuiwezesha Kampuni ya Simu nchini TTCL kumudu kusimamia Mkongo wa Taifa kama hazina ya masuala ya ulinzi na usalama wa Taifa kwenye sekta ya mawasiliano. TEWUTA imesema TTCL imekuwa haifanyi kazi ipasavyo ukilinganisha …

Soma Zaidi

Wakulima kupata masoko kupitia simu za mkononi

Wakulima kutoka Vijiji 59 vya Wilaya ya Butiama mkoani Mara wanatarajiwa kunufaika na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA ya kutumia Simu zao za mkononi kuwasiliana na Maafisa kilimo ili kuwawezesha kukabiliana na magonjwa ya mazao na kutafuta soko la bidhaa zao Duniani kote. Wakizungumza wakati wa mafunzo maalumu ya …

Soma Zaidi

Waziri Mkuu awahimiza Wananchi kuwa wabunifu

  Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amewataka wananchi  kuwa wabunifu kupitia fursa zilizopo katika maeneo yao  na kushirikiana na serikali ili kuweza kujiletea maendeleo na kuondokana na umaskini. Amesema wakati umefika kwa watanzania kuwa na ushirikianao ndani ya jamii zao katika miradi ya maendeleo na kuachana na dhana ya kusubiri serikali …

Soma Zaidi