Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Habari / Biashara na Uchumi (Ukurasa 5)

Biashara na Uchumi

Habari za uchumi na biashara kitaifa na kimataifa kutoka hapa Star TV Tanzania.

Madiwani Tarime watofautiana katika maamuzi

  Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara wametofautiana katika kutoa maamuzi juu ya kuhamishwa kwa wafanyabiashara wanaopanga chini ndizi na viazi kwenye maeneo ya stendi kuu ya mabasi ya Tarime baada ya uongozi wa Halmashauri hiyo kuwaondoa katika eneo hilo. Tofauti hiyo imejitokeza baada ya wafanyabiashara hao …

Soma Zaidi

Watanzania wahimizwa kuziona fursa za nje ya nchi

  Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema umefika wakati kwa Watanzania kuona fursa za uwekezaji zilizopo nje ya nchi na kuwekeza ili kuleta mageuzi ya kiuchumi yatakayoisaidia Tanzania kufikia nchi yenye uchumi wa viwanda. Waziri Mwijage amesema licha ya Serikari kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, Watanzania bado …

Soma Zaidi

TBS, Polisi waendelea kuyaondoa sokoni matairi yasiyo na viwango:

  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Temeke limeendelea na Operesheni kuyaondoa matairi yaliyotumika ambayo Serikali ilikwisha piga marufuku kuwepo sokoni. Mbali na Operesheni hiyo inayohusisha Nchini nzima, Mamlaka hiyo imekusanya shehena kubwa ya bidhaa hiyo katika Manispaa ya Temeke ambapo wafanyabiashara …

Soma Zaidi

Waziri Mkuu ataka familia ziwezeshwe ili kuinua uchumi

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amelitaka Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kuzingatia nguzo za Sera ya Taifa ya Uwezeshaji ili kuwawezesha watanzania kuwa na mchango katika uchumi wa taifa kwa kuanzia ngazi ya familia. Miongoni mwa nguzo hizo ni pamoja na Ushirikishwaji wa wananchi katika kujenga na kuendeleza uchumi, uwepo wa …

Soma Zaidi

Wakazi wa Tinde wahoji matumzi ya mapato ya ushuru  

  Wakazi wa mji mdogo wa Tinde wilayani Shinyanga wameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kutumia mapato yatokanayo na maegesho ya  magari yaendayo Nchi jirani ambayo uegeshwa kwenye eneo hilo yatumike kwenye usafi wa mazingira Wakazi hao wamesema wastani wa magari 300 kila siku uegeshwa eneo hilo na kila gari …

Soma Zaidi

Wahitimu vyuo vikuu kupatiwa ujuzi  

  Wahitimu wa vyuo vikuu nchini wametakiwa kuondokana na dhana ya kuchagua kazi za kufanya pindi wamalizapo masomo ya fani wanazosomea na badala yake watumie fursa zilizopo kujiongezea ujuzi wa kufanya kazi. Rai hiyo imetolewa kufuatia wasomi wengi kudaiwa kushindwa kuajiriwa kwa kukosa ujuzi wa fani walizosomea.  Ni katika mkutano …

Soma Zaidi