Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Kimataifa (Ukurasa 2)

Kimataifa

Habari za Kimataifa kutoka Star TV. Pata Habari za ulimwenguni kote katika nyanja za; siasa, uchumi, utamaduni, michezo.

Afcon 2017: Uganda yafuzu kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1978

Uganda imefuzu kwa mara ya kwanza kucheza katika fainali za Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza tangu 1978 baada ya kulaza Comoros Jumapili. Ushindi wao wa 1-0 uliwawezesha kufuzu kwa fainali zitakazochezewa Gabon mwaka ujao kama mojawapo wa mataifa mawili bora yaliyomaliza ya pili katika makundi. Wapinzani …

Soma Zaidi

Kiir akubali wanajeshi wa UN watumwe Juba, Sudan Kusini

Rais wa Sudan Kusini hatimaye amekubali kikosi cha ziada cha wanajeshi wa kulinda amani kitumwe nchini humo. Rais Salva Kiir alichukua hatua hiyo baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Bw Kiir alikuwa awali amekataa kutumwa kwa wanajeshi hao 4,000 kutoka mataifa …

Soma Zaidi

UN yahimiza kuwepo utulivu Gabon

Umoja wa Mataifa umezihimiza kuwepo kwa utulivu nchini Gabon baada ya fujo kuzuka kuhusiana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais. Baraza la Usalama la umoja huo limetoa wito kwa wagombea wakuu na wafuasi wake kujizuia kufanya uchokozi na kutatua mzozo wa sasa kupitia njia za kisheria. Maafisa wa …

Soma Zaidi

Waziri aliyesinzia mkutanoni auawa Korea Kaskazini

Serikali ya Korea Kusini imesema waziri wa elimu nchini Korea Kaskazini ameuawa na maafisa wa serikali. Waziri huyo wa elimu Kim Yong-jin anadaiwa kusinzia katika mkutano wa kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-un. Baadhi ya ripoti zinasema waziri huyo, ambaye amekuwa pia akihudumu kama mmoja wa manaibu wa waziri mkuu, …

Soma Zaidi

Japani yazionya meli za China dhidi ya shughuli za kisheria

Maafisa wa ulinzi wa pwani ya Japani wamezionya meli za China kutotekeleza shughuli zozote za majukumu ya kisheria ndani ya eneo la maji linalomilikiwa na Japani jirani na visiwa vya Senkaku kwenye bahari ya China mashariki. Maafisa hao wa ulinzi wa pwani wamesema meli tano za serikali ya China zilishusha …

Soma Zaidi

Hillary Cliton ashutumiwa kwa mauaji ya Libya 2012

Wazazi wa wamarekani wawili waliouliwa miaka minne iliyopita nchini Libya wanamshutumu mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Hillary Cliton, kwa kuchangia kutokea kwa mauaji hayo. Clinton waziri wa masuala ya kigeni wa Marekani kipindi ubalozi wa Marekani nchini Libya uliposhambuliwa. Patricia Smith na Charles Woods, ambao ni wazazi wa Sean …

Soma Zaidi

Obama: Clinton anafaa zaidi kuongoza Marekani

Akihutubia katika kongamano kuu la chama cha Democratic mjini Philadelphia, huku akishangiliwa na wajumbe, Rais Obama amesema hakujawahi kuwa na mtu aliyehitimu zaidi kuongoza Marekani kuliko Bi Clinton. “Hakujawahi kuwa na mwanamume au mwanamke, iwe mimi au Bill Clinton au mtu mwingine yeyote aliyekuwa amehitimu zaidi kuwa rais kama yeye,” …

Soma Zaidi

Trump aahidi kumaliza uhalifu Marekani

Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ameahidi kumaliza uhalifu na ghasia nchini Marekani iwapo atachaguliwa kuwa rais kwenye uchaguzi mkuu mwezi Novemba. Akiongea katika kongamano kuu la chama cha Reublican wakati wa hotuba yake ya kukubali uteuzi, mgombea huyo amesema hakuwezi kuwa na ufanisi bila kuwepo …

Soma Zaidi

Donald Trump kugombea urais Marekani

Donald Trump ateuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi November mwaka huu. Trump amepata uungwaji mkono na wajumbe kutoka majimbo na wilaya za Marekani katika kura mchujo wa kumpata mgombea wa nafasi hiyo kupitia chama chake cha Republican kupitia mkutano mkuu wa chama …

Soma Zaidi