Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Habari / Kimataifa (Ukurasa 4)

Kimataifa

Habari za Kimataifa kutoka Star TV. Pata Habari za ulimwenguni kote katika nyanja za; siasa, uchumi, utamaduni, michezo.

Fisi amng’ata mtoto Afrika Kusini

Maafisa wa mbuga ya wanyamapori nchini Afrika Kusini wamewashauri waweni kuwa makini, baada ya fisi kumshambulia mtoto wa umri wa miaka 15 alipokuwa amelala ndani ya hema katika mbuga ya Kruger. Msemaji wa mbuga za wanyamapori William Mabasa, aliwashauri wageni kuchukue tahadhari kila wakati, kwa kuwa kuna wanyamapori wanaowazunguka, na …

Soma Zaidi

Mataifa 6 ya Umoja wa Ulaya kujadili mustakabali wao

Mataifa 6 waanzilishi wa Muungano wa Ulaya EU wanakutana leo kujadili mustakabali wao wa baadaye baada ya Uingereza kuamua kujiondoa kutoka kwa muungano huo. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, ufaransa,Italy, Ubelgiji, Luxembourg na Uholanzi wanatarajiwa kuanzisha mchakato huo pasi na kuwa na ngoja ngoja. Tayari rais wa tume …

Soma Zaidi

Korea Kaskazini yadai ina uwezo wa kuilipua Marekani

Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesema kuwa taifa lake linauwezo wa kushambulia maeneo ya Marekani, katika bahari ya Pacific. Rais Kim Jong alisema hayo baada ya taifa lake kufanikiwa kutekeleza majaribio ya makombora yenye uwezo wa kusafiri mwendo wa kasi hadi masafa ya kadri. Runinga ya taifa mjini …

Soma Zaidi

Wakimbizi 200 wa Boko Haram wafa kwa njaa

Watu 200 waliokimbia kutoka kwa maeneo yaliyovamiwa na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram nchini Nigeria, wamefariki kutokana na baa la njaa na ukosefu wa maji. Shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka- MSF, linasema kuwa vifo hivyo viltokea mwezi uliopita, katika kambi moja duni ya wakimbizi wa ndani kwa ndani, …

Soma Zaidi

Waingereza kupiga kura kubaki au kusalia umoja wa Ulaya leo

Asubuhi hii raia wa Uingereza wanapiga kura ya maoni kuamua iwapo Uingereza isalie au ijiondoe katika Muungano wa Umoja wa Ulaya. Kwa mara ya mwisho Uingereza kuendesha kura maoni kuhusu uanachama wake ndani ya Umoja huo ilikuwa ni miaka aroboini iliyopita. Hata hivyo kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa BBC haitaweza …

Soma Zaidi

Ghasia mbaya zashuhudiwa Afrika Kusini

Polisi nchini Afrika Kusini wanajaribu kuzua ghasia ambazo zimetokea maeneo ya mji mkuu wa nchi hiyo Pretoria. Taarifa ya serikali ambayo inataka kuwepo utulivu, inasema kuwa maafisa wa polisi walifyatuliwa risasi wakati waandamanaji waliposhambulia gari lao kwa mawe. Ghasia zilianza katika eneo la Tshwane kutokana na suala la mgombea wa …

Soma Zaidi

Donald Trump anusurika kuuawa Las Vegas

Mwanamume mmoja raia wa Uingereza anayetuhumiwa kwa kupora bunduki ya afisa mmoja wa polisi katika mkutano wa kisaiasa wa Donald Trump, amewaambia wapelelezi wa Marekani kuwa, alitaka kumuua kwa kumpiga risasi na kumuuwa mgombea huyo wa kiti cha Urais wa chama cha Republican. Kwa mjibu wa stakabadhi za mahakama, Michael …

Soma Zaidi