Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa

Kitaifa

Habari za Kitaifa, Tanzania bara na visiwani (Zanzibar).

Waziri Mkuu Majaliwa atua Iringa tayari kwenda Njombe.

​Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametua leo asubuhi katika uwanja wa ndege wa Nduli mkoani Iringa tayari kuelekea mkoani Njombe kuendelea na ziara ya kikazi katika mkoa huo. Mhe. Majaliwa alilazimika kukatiza ziara yake mkoani njombe na kwenda Dar Es Salaam kwa shughuli ya kikazi. Mkoani Iringa Waziri Mkuu amepokelewa …

Soma Zaidi

Bodaboda watakiwa kuwafichua wahalifu.

JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Tarime na Rorya limeutaka umoja wa wafanyabiashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kwa jina bodaboda wilayani Tarime mkoani mara kuwafichua waendesha pikipiki wanao fanya vitendo vya uharifu nyakati za usiku ukiwemo ubakaji wa wanawake na kukimbia na pesa za chenchi za …

Soma Zaidi

Watuhumiwa TASAF wakamatwa.

Takribani kaya 50 za wilayani Kalambo mkoani Rukwa zimeamriwa kukamatwa mara moja zikituhumiwa  kunufaika na fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kinyume na malengo ya mradi wa kusaidia kaya masikini.

Soma Zaidi