Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa (Ukurasa 10)

Kitaifa

Habari za Kitaifa, Tanzania bara na visiwani (Zanzibar).

Msimamo wa serikali kuhusu ongezo la kodi ya VAT 18%

Kama umekuwa ukitumia huduma za kibenki nchini unaweza usiwe mgeni sana wa ujumbe uliosambazwa na benki mbalimbali nchini kuwa kuanzia Juai, 1 zitakuwa zikikata asilimia 18 ya kodi ya VAT kwa huduma za kifedha wa wateja wa benki hizo. Jambo hilo lilichukua sura mpya pale ambapo TRA ilipotoa taarifa na …

Soma Zaidi

Wabunge watatu wa Ukawa wasimamishwa kutohudhuria vikao bungeni

Bunge limeridhia pendekezo la adhabu ya kumsimamisha vikao 10 kuanzia leo Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi baada ya kutiwa hatiani na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kudharau mamlaka ya Spika. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kepten Mstaafu George Mkuchika alisema alinyoosha kidole cha kati kwenda juu …

Soma Zaidi

Mchungaji Msigwa sasa aja na hoja ya kumwondoa Naibu Spika

Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu wabunge wa Ukawa kuanza kususia vikao vinavyoendeshwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha hoja ya kumwondoa madarakani kwa madai ya kukiuka kanuni za Bunge wakati wa uwasilishwaji wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Fedha ya …

Soma Zaidi

Magufuli hula chakula kilichopikwa tu na mkewe

Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, mabaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi. Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadharia, inaripotiwa kuwa Magufulu hula chakula kilichopikwa tu na mke wake. Kulingana na gazeti la Financial Times …

Soma Zaidi

NEC yawasilisha taarifa ya uchaguzi visiwani ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi –NEC Jaji mstaafu DAMIAN LUBUVA amesema amefarijika kuona Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 umemalizika katika hali ya usalama na amani. LUBUVA amesema hayo kisiwani ZANZIBAR alipokuwa akikabidhi taarifa ya mwenendo wa uchaguzi kwa Spika wa Baraza la wawakilishi . Akizungumzia suala la Katiba …

Soma Zaidi

Wabunge waishauri serikali kulinda maslahi ya wakulima

Baadhi ya wabunge wanaotoka katika mikoa inayolima mazao ya korosho, ufuta, alizeti na mpunga, wameishauri serikali ifuatilie mfumo wa soko la pamoja la bidhaa ili kulinda maslahi ya wakulima na mazao yao. Wabunge hao wametoa ushauri huo mkoani DODOMA na kushauri elimu zaidi itolewe kwa wakulima vijijini ili wajiandae kuupokea mfumo …

Soma Zaidi

Mshukiwa wa kesi ya mauaji Msikitini mwanza auawa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo limeeleza kumuua Salum Saidi Muhangwa (30) kwa madai ya kuwa miongoni mwa waliofanya mauaji kwenye msikiti huo. Akizungumza na wanahabari Simon Siro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema, mtu huyo ameuawa leo asubuhi wakati akijaribu kuwakimbia …

Soma Zaidi