Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa (Ukurasa 182)

Kitaifa

Habari za Kitaifa, Tanzania bara na visiwani (Zanzibar).

Polisi Mwanza yamtia mbaroni kinara wa mauaji.

Na Renatus Masuguliko, Sengerema. Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na wananchi imefanikiwa kumtia mbaroni kinara wa unaodaiwa kuwa ni mtandao wa uhalifu wa mauaji ya kikatili katika mikoa ya Mwanza na Geita.   Kutiwa mbaroni kwa kinara huyo wa mauaji anayetambuliwa kwa jina la Juma Zoya ambaye ni mganga wa …

Soma Zaidi

Maandamano ya CUF yapigwa marufuku

Na Ephrasia Mawalla, Dar Es Salaam. Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha wananchi CUF kutokana na ugeni wa marais 14 akiwemo na rais wa Marekani Barrack Obama.   Chama cha Wananchi CUF kilikuwa na mpango wa kufanya maandamano Juni 29 mwaka huu yenye lengo …

Soma Zaidi