Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa (Ukurasa 2)

Kitaifa

Habari za Kitaifa, Tanzania bara na visiwani (Zanzibar).

Kikao cha kwanza cha MUUNGANO 2017 chafanyika Zanzibar

Kikao cha kwanza katika mwaka 2017 cha kamati ya pamoja  ya serikali ya Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kuhusu masuala ya kero za muungano kimekaa visiwani Zanzibar na kujadili changamoto mbali mbali zilizopo katika muungano huo kwa kipindi kirefu na kupatiwa ufumbuzi baadhi yake. Kikao hicho …

Soma Zaidi

MBUNGE WA JIMBO LA KILOMBERO AHUKUMIWA MIEZI SITA JELA

Na, Jackson Monela – Star TV Mahakama ya Wilaya ya Kilombero imemuhukumu kifungo cha miezi Sita mbunge wa Jimbo Kilombero mkoani Morogoro Peter Lijualikali (30) mara baada ya kumkuta na hatia ya kufanya fujo na kusababisha taharuki katika uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Machi Mosi mwaka 2016.

Soma Zaidi

AFISA WA FORODHA WILAYANI TARIME AFIKISHWA MAHAKANI.

Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru mkoani Mara,imemfikisha mahakamani Afisa forodha wa mamlaka ya mapato Tanzania TRA,kituo cha Sirari EZEKIEL GISUNTE kwa kosa la kudai na kupokea rushwa ya shilingi milioni kumi na tano toka kwa mfanya biashara wa vifaa vya ujenzi aliyekuwa akipitisha bidhaa zake mpakani hapo. …

Soma Zaidi

TRA YALIA NA WAMACHINGA – DAR

Serikali imeendelea kutekeleza ahadi ya kuwahamisha wamachinga kutoka mitaani na maeneo yasiyoruhusiwa na kwenda katika maeneo maalum ambayo wamepangiwa kwa ajili ya kufanyia biashara zao. Imeelezwa kuwa athari mbalimbali za kuwepo wamachinga wanaofanya biashara kwenye maeneo yasiyoruhusiwa zimeonekana ikiwemo kushuka kwa mapato ya kodi. Vijana wengi, wamejiajiri kupitia biashara hii …

Soma Zaidi

KANDA YA ZIWA YASHINDWA KUKAMILISHA ZOEZI LA MADAWATI

Baadhi ya Mikoa ya Kanda ya ziwa imetajwa kushindwa kumaliza tatizo la madawati kwa shule za msingi na sekondari na kupelekea wanafunzi kuendelea kukaa chini. Mikoa hiyo ni Geita, Mwanza, Mara , Shinyanga na Kigoma ambayo wanafunzi katika shule mbalimbali wanaendelea kukaa chini baada ya agizo la Rais kushindwa kutekelezwa. …

Soma Zaidi

JESHI LA POLISI MKOANI SHINYANGA LAWASHIKILIA BAADHI YA WATU.

Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linawashikilia watu 24 kwa makosa mbalimbali sanjali na watu wengine 2 wanaosadikiwa kuiba gari na kumuua dereva wa gari haina ya Toyota namba T531 aliyetambulika kwa jina la Patrick James aliyeuawa huko mkoani Iringa Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Shinyanga Muliro Jumanne Muliro amewaambia …

Soma Zaidi