Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa (Ukurasa 20)

Kitaifa

Habari za Kitaifa, Tanzania bara na visiwani (Zanzibar).

Baadhi ya shule mkoani Geita hazina miundombinu

Changamoto ya mazingira yasiyo rafiki shuleni na nyumbani inadaiwa kuwa ndio chanzo cha utoro kwa wanafunzi  ambao wengi wao huamua kuacha shule huku takwimu zikionyesha wanafunzi walioanza mwaka 2013 walikuwa ni 2266 na kwa mwaka huu waliosajiliwa kufanya mtihani kidato cha nne ni 1414. Moja ya shule ya sekondari ya …

Soma Zaidi

UVCCM yawashauri wapinzani kutoubeza Utendaji wa Rais Magufuli

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM umevishauri vyama vya upinzani hususani UKAWA kutobeza utendaji wa Rais wa awamu ya tano Dokta John Magufuli na badala yake wamuunge mkono kwa maendeleo ya nchi. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Idara ya Uhamasihaji Sera, Utafiti na Mawasiliano wa UVCCM Abubakar …

Soma Zaidi

TLTC yatoa Mil. 75 kusaidia kutatua uahaba wa Madawati Urambo

Uhaba wa madawati unaoikabili Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, huenda ikawa historia baada ya Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) kutoa kiasi cha shilingi milioni 75 kama sehemu ya malipo ya ushuru wa tumbaku kwa mwaka ujao. Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Queen Mlozi, Wilaya yake ina upungufu …

Soma Zaidi

Wananchi Zanzibar wahimizwa kudumisha usafi ili kudhibiti kipindupindu

Licha ya kupungua kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu Zanzibar wananchi visiwani humo wametakiwa kuendelea kudumisha usafi katika maeno wanayoishi. Kambi iliyokuwa ikipokea wagonjwa wa kipindupindu 250 kwa wiki kwa sasa inapokea watu 100 hali inayoashiria kuendelea kuwepo ugonjwa huo. Kuendelea kupokelewa kwa wagonjwa hao kunadhahirisha kuwa tatizo bado …

Soma Zaidi

Wafanyabiashara Nzega waaswa uadilifu ili kuepusha madhara kwa walaji na Watumiaji wa bidhaa

Taasisi ya kuzuia na Kupambana Rushwa TAKUKURU kwa kushirikiana na Polisi wilayani Nzega mkoani Tabora imewataka wafanyabiashara ya chakula na dawa kufuata maadili, uadilifu na uaminifu katika biashara zao na kuhakikisha wanauza bidhaa zilizothibitishwa na mamlaka husika ili kuepuka madhara kwa watumiaji. Vyombo hivyo vya dola vimeendesha msako na kukamata nusu tani ya …

Soma Zaidi