Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa (Ukurasa 5)

Kitaifa

Habari za Kitaifa, Tanzania bara na visiwani (Zanzibar).

#Ukuta: Upinzani waahirisha maandamano Tanzania

Muungano wa vyama vya upinzani nchini Tanzania umeahirisha maandamano ya kitaifa ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika kesho.   Viongozi wa upinzani, akiwemo Edward Lowassa wa Chadema, wametangaza hatua hiyo kwenye kikao na wanahabari Dar es Salaam.   Wamesema wameahirisha maandamano hayo kwa kipindi cha mwezi mmoja baada ya kusikia ombi la …

Soma Zaidi

Rais Magufuli asema Serikali haitatoa msaada wa chakula.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amesema hakuna sehemu yoyote ya Tanzania itakayopatiwa msaada wa chakula kwa madai ya kukabiliwa na baa la njaa. Dokta Magufuli ametoa kauli hiyo wilayani Sengerema mkoani Mwanza akieleza kuwa hayo ni maelekezo ya Serikali kwa nchi nzima katika kipindi cha …

Soma Zaidi

Matabibu wanne tiba asilia wapinga kufutiwa leseni

Matabibu wanne wa Tiba Asilia na Mbadala akiwemo mmiliki wa Kliniki ya Sure Herbal, Simon Rusigwa wamewasilisha maombi ya kuomba ruhusa ya kufungua kesi ya kupinga uamuzi wa kufutiwa leseni za kutoa huduma za kitabibu. Wamewasilisha maombi hayo katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, dhidi ya …

Soma Zaidi

Waziri mkuu amuagiza CAG kuchunguza soko la Mwanjelwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Mdhibiti Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwenda kufanya ukaguzi maalumu katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa madai ya kuwapo kwa dalili za ubadhirifu katika ujenzi wa Soko la Mwanjelwa. “Inasikitisha ujenzi wa soko hili kuingia ubabaishaji. Ujenzi wa soko ungegharimu Sh. bilioni …

Soma Zaidi

Sababu ya samaki kupungua katika Ziwa Tanganyika

Utafiti mpya umebaini kupungua pakubwa kwa idadi ya samaki katika Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa muhimu zaidi kwa uvuvi duniani, kumetokana na ongezeko la joto duniani katika karne moja iliyopita.   Ziwa Tanganyika ndilo la kale zaidi Afrika na samaki wake huwa muhimu sana kwa lishe katika mataifa yanayopakana na …

Soma Zaidi