Saturday , September 23 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Mtibwa Sugar yaiondosha Polisi Moro kombe la FA

Timu ya maafande wa Polisi Morogoro inayoshiriki ligi Daraja la Kwanza ngazi ya Taifa, imetupwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho, baada ya kushindwa kutamba mbele ya mahasimu wao, wakata miwa Turiani timu ya Mtibwa Sugar, kupitia mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulimalizika kwa timu zote mbili kutoka sare …

Soma Zaidi

Arusha wasusia uchaguzi wa viongozi

Chama cha riadha mkoa wa Arusha kimepinga kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa shirikisho la mchezo huo hapa nchini  RT kwa madai kuwa Baraza la michezo la Taifa BMT limevunja katiba ya chama cha riadha . Madai mengine ya Chama hicho  kukataa kufanya uchaguzi  ni kutokana na kutokuwepo kwa taarifa …

Soma Zaidi

Kuimarishwa uwanja wa Nyamagana

Mipango ya kuendeleza soka la vijana huenda ikawa na tija endapo tu serikali chini ya ilani ya Chama cha Mapinduzi itafikia makubaliano ya sera ya kubinafsisha baadhi ya viwanja vyake vya michezo inavyovimiliki nchini.Hatua hiyo inaweza kufikia viwango vya kimataifa vya ubora wa viwanja kwa wadau kujitokeza kuwekeza na kuleta …

Soma Zaidi

• SHERIA 17 ZA SOKA: Waamuzi walaumiwa kuziweka

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara, ikifikia tamati ya mzunguko wa kwanza, mashabiki wa soka wametoa tathimni ya Ligi hiyo huku wakiwatupia lawama waamuzi kwa kutofuata sheria kumi na saba za soka. Mashabiki hao, wamesema ushindani ni pale kila timu kuweza kuonyesha uwezo wao , hususan kwa timu ambazo zimepanda Ligi …

Soma Zaidi

Chama cha soka barani Africa CAF chapata mdhamini mpya

Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limepata mdhamini mpya baada ya kumalizika kwa mkataba wake na kampuni ya mawasiliano ya Orange. Orange imekuwa mdhamini mkuu wa mashindano makubwa ya CAF kwa miaka minane tangu 2009. Kabla ya hapo, kampuni nyingine ya mawasiliano ya MTN ndiyo iliyokuwa mdhamini kwa miaka minne. …

Soma Zaidi

Zidane atibuana na rais wa real Madrid Florentino Perez

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekwaruzana na rais wa klabu hiyo, Florentino Perez kabla ya kuanza kwa ziara ya maandalizi ya msimu ujao nchini Canada. Ugomvi wao ulitokana na uamuzi wa Perez kulazimisha kinda wa miaka 17, Martin Odegaard aliyesajiliwa Januari ajumuishwe kwenye kikosi kilichosafiri na kufanya ziara Amerika …

Soma Zaidi