Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani (Ukurasa 10)

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Usajili Ulaya Ulimwengu akamilisha mazungumzo na St.Etienne.

  Wakati Mbwana Samata akiwekewa vikwazo kuondoka TP Mazembe, hali ni tofauti kwa Thomas Ulimwengu, ambaye yeye mambo yamemnyookea. Mshambuliaji wa Klabu ya TP Mazembe, Thomas Ulimwengu ameshakamilisha mazungumzo na Klabu ya Saint Etienne ya Ufaransa na kinachosubiriwa ni yeye kusaini mkataba wa kujiunga na klabu hiyo. Ulimwengu amesema kabla …

Soma Zaidi

Ujerumani kumuunga mkono Infantino Uchaguzi Mkuu Fifa:.

Shirikisho la soka nchini Ujerumani limetangaza kumuunga mkono katibu mkuu wa UEFA,Gianni Infantino wakati wa uchaguzi mkuu wa FIFA utakaofanyika mwishoni mwa mwezi ujao. Rais wa Shiikisho la soka Ujerumani,Reinhard Rauball amebainisha wameonesha msimamo wao kutokana na kuamini mgombe huyo ni mtu sahihi kuiongoza FIFA. Infantino ambaye amekuwa nguzo muhimu …

Soma Zaidi

Upungufu wa makocha tatizo ukuzaji soka la vijana.

Wakati shirikisho la soka nchini TFF likiwa na mkakati wa kuendeleza soka la vijana nchini  upungufu wa makocha kwa  timu za vijana wenye umri tofauti wakiwemo waliochini ya miaka 11,  13, 15  na 17 bado ni Tatizo. Makocha    wenye  uzoefu wa kufundisha  soka la vijana wadogo imekuwa changamoto kwa baadhi …

Soma Zaidi

Kocha Mexime akiri ugumu wa mechi dhidi ya Simba.

Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar,  Mecky Maxime  amesema licha Simba kumfukuza kocha wao Dyan Kerr, bado anabashiri mchezo wao wa jumamosi hii wa ligi kuu utakuwa mgumu kwa sababu Simba ina wachezaji wazuri. Mecky amesema hakubaliani na kauli zinazofikiri kuwa ugumu wa mechi unaletwa na kocha hivyo kufukuzwa kwa Kerr …

Soma Zaidi

Mashindano CHAN 2016kuanza leo nchini Rwanda

Michuano ya nne ya kombe la CHAN kwa 2016 yataanza kutimua vumbi  leo nchini Rwanda ambapo michuano hiyo inashirikisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani huku mataifa kumi na sita yakichuana kuwania ubingwa huo wa Afrika. Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kuzindua michuano hiyo ambayo nchi hiyo inatarajiwa kushirikisha nyota …

Soma Zaidi