Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani (Ukurasa 2)

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Tanzania kutuma wanamichezo saba Olimpiki Rio

Tanzania kwa mara nyingine itawakilishwa na kikosi kidogo cha wanamichezo katika Michezo ya Olimpiki, mwaka huu michezo hiyo ikifanyika Rio de Janeiro. Tanzania itawakilishwa na wanamichezo saba katika michezo hiyo itakayofanyika kuanzia Agosti 5 hadi 21. Kikosi cha sasa hata hivyo kimeongezeka kidogo, kutoka kwa wanariadha sita waliowakilisha Tanzania Olimpiki …

Soma Zaidi

Messi na baba ake jela Miezi 21

Mshambuliaji wa Argentina na Barcelona, Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela kutokana na kulipa kukwepa kodi, vyombo vya habari vya Hispania vimeripoti. Baba yake, Jorge Messi, pia amehukumiwa kifungo kwa kukwepa kulipa kodi inayokadiriwa kufikia Euro 4.1 milioni kwa kipindi cha kuanzia 2007 hadi 2009. Pia, wawili hao …

Soma Zaidi

Chile waibuka kidedea dhidi ya Argentina Copa America

Michuano ya Copa America imefikia tamati leo hii kwa mabingwa watetezi Chile kuendeleza ubabe wake dhidi ya Vigogo wa soka duniani Argentina. Dakika 120 za mchezo huo zilishuhudia timu hizo zikienda suluhu ya bila kufungana. Mchezo huo ulitawaliwa na ubabe wa hapa na pale huku ikushuhudiwa timu zote mbili zikimaliza …

Soma Zaidi

Victor Wanyama ajiunga na Tottenham Hotspur

Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11. Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa pauni milioni 12.5, kwa sasa anafanyiwa uchunguzi wa kiafya. Sasa wanyama ataungana na …

Soma Zaidi