Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani (Ukurasa 20)

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Afrika Kusini yakana kutoa hongo kwa FIFA

Afrika kusiniAfrika kusini imekana kwa mara nyengine tena kwamba ilitoa hongo ili kupewa maandalizi ya kombe la dunia la mwaka 2010. Waziri wa michezo nchini humo Fikile Mbalula, amewaambia wanahabari kwamba Afrika kusini itashirikiana na wachunguzi kutoka Marekani lakini imekataa kuingizwa katikati ya ugomvi kati ya FIFA na Marekani. Amesema …

Soma Zaidi

Maafisa wa Marekani kumchunguza Blatter

Imeripotiwa kuwa Raisi wa Fifa,Sepp Blatter anafanyiwa uchunguzi na maafisa wa marekani ili kuthibitisha tuhuma za rushwa zinazomkabili vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti. Taarifa hiyo inakuja baada ya Blatter kutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa wake. Wakati ambao waendesha mashtaka nchini Marekani wanaoifuatilia tuhuma za rushwa walikamata maafisa saba wa Fifa …

Soma Zaidi

Hatimaye Carlo Anceloti atimuliwa Real Madrid.

Hatimaye miamba ya soka nchini Hispania Real Madrid imemtimua kocha wa timu hiyo Carlo Ancelotti baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa misimu miwili. Kocha huyo raia wa Italia, aliiongoza Madrid kutwaa taji la kombe la Hispania kabla ya kuibebesha miamba hiyo taji la kumi la klabu bingwa barani Ulaya.   …

Soma Zaidi

Sunderland wafurahia kubaki ligi kuu Uingereza.

Klabu ya Sunderland na Arsenal jana wametunushiana misuli baada ya kutoka 0-0 na hivyo kufanikiwa kuondoa mashaka ya kushuka daraja msimu huu katika ligi ya England. Hata hivyo kwa matokeo hayo Arsenal wanashika nafasi ya tatu nyuma ya Manchester City katika ligi hiyo inayomalizika. Hata hivyo katika mchezo huo Sunderland …

Soma Zaidi

Sharapova, Kvitova watinga robo fainali.

Nyota wa mchezo wa tenesi dunia Maria Sharapova ametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi ya italia Sharapova ametinga hatua hiyo baada ya kupata ushindi wa seti 6-3 6-3 dhidi ya mpinzani wake Bojana Jovanovski Petra Kvitova raia wa Jamuhuri ya Czech nae ametinga kwenye robo fainali baada …

Soma Zaidi

Europa Cup, Dnipro na Sevilla zatinga fainali.

Nusu fainali ya pili ya Europa ligi iliendelea usiku wa kuamkia leo wakati Dnipopetrovsk ilipomenyana na Napoli huku Fiorentina ikiialika Sevilla. Hadi mwisho wa michezo yote miwili, Dnipro imeingia fainali kwa jumla ya bao 2 kwa 1 bada ya jana kushinda bao 1-0. Nayo Fiorentina imetupwa nje kwa jumla ya …

Soma Zaidi

Barcelona yafungwa 3-2, yatinga fainali UEFA.

Miamba ya soka ya Hispania Barcelona, wamefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibwaga Bayern Munich kwa jumla ya mabao 5-3 yaliyopatikana katika mikondo yote miwili waliyokutana kwenye hatua ya nusu fainali. Katika mchezo wa usiku wa kuamkia leo ambao ulipigwa ndani ya dimba la Allinza Arena, Bayern walipaswa kushinda goli nne …

Soma Zaidi

Mrisho Ngasa asaini kucheza Afrika Kusini.

Sasa ni rasmi, mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amemwaga wino kuichezea klabu ya Free State Stars ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa miaka minne . Ngasa ameripotiwa kufurahia mkataba huo mnono na kuanza kwake kwa maisha mapya baada ya kucheza nyumbani kwa miaka kadhaa. Ngasa ameonekana katika mitandao kadhaa akiwa …

Soma Zaidi

Tanzania yakubali uenyeji Kagame Cup

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF) imekubali kuwa wenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ngazi ya vilabu inayojulikana kama Kagame Cup. Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ambao ndio wamiliki wa mashindano haya na hutoa mialiko kwa vilabu …

Soma Zaidi