Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani (Ukurasa 26)

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Liverpool yakaribia ushindi wa ligi

Liverpool ndio washindi watarajiwa wa ligi ya Uingereza baada ya Kuishinda Norwich City mabao matatu kwa mbili katika mechi iliyochezwa wikendi. Kwa sasa Timu ya Liverpool iko na pointi tano zaidi, wakiwa wangali wana mechi kadhaa za kucheza ikiwemo ile ya Chelsea. Japo Chelsea wamesalia katika nafasi ya pili walishindwa …

Soma Zaidi

Vijana wa Nigeria wazawadiwa kwa ubingwa

Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria amewazawadia Kiasi cha Dola 12,600 kila mchezaji,wachezaji wote wa Timu ya Taifa soka Nigeria ya chini ya umri wa miaka 17,ikiwa ni zawadi kwa Kutwaa Ubingwa wa soka wa Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita, Wachezaji hao walitwaa Ubingwa wa Dunia kwa kuilaza Mexico bao 3-0 …

Soma Zaidi

Mbio za Soweto Marathon matatani

Ugomvi umeibuka baina ya watayarishaji wa mbio za Soweto Marathon wakisema mbio hizo hazitofanyika tarehe 3 Novemba huku James Evans rais wa shirikisho la riadha Afrika Kusini akisema mbio hizo zitaendelea kama ilivyopangwa. Vijana wa Soweto Marathon Trust walioanzisha mbio hizo wamesema kuna wasiwasi kuwa bwana James Enas huenda akazipeleka …

Soma Zaidi

Lionel Messi alipa kodi aliyokwepa

Lionel Messi -nyota ya Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina pamoja na babake wamelipa euro milioni tano(sawa na dola milioni 6.6) deni la kodi kabla ya kukabiliana na mashtaka ya kukwepa kodi kwa njia za ujanja, kwa mujibu wa uwamuzi wa jaji mapema leo Alhamisi. Madai haya ya kukwepa …

Soma Zaidi

Rooney awajibu wakosoaji wake

Wayne Rooney amechapisha picha ya jeraha alilopata kichwani baada ya wakosoaji wake kuhoji kujitolea kwake kuchezea timu ya taifa. Rooney alijeruhiwa na mchezaji mwenzake wa Manchester United Phil Jones,kwa kumkanyaga kichwani na hivyo kumlazimisha kukaa nje ya mechi za England kufuzu kushiriki kombe la dunia zitakazochezwa Uijumaa na Jumanne. Alisema …

Soma Zaidi

Copa Coca Cola, Ruvuma yaanza kwa ushindi

Iringa imeanza kwa kishindo michuano ya Copa Coca-Cola kwa watoto wenye umri chini ya miaka 15 baada ya leo (Septemba 3 mwaka huu) kuitandika Ruvuma mabao 4-0.   Hadi mapumziko katika mechi hiyo iliyochezwa Uwanja wa Shule ya Sekondari Iyunga jijini Mbeya, washindi walikuwa mbele kwa mabao 2-0 yaliyofungwa dakika …

Soma Zaidi

Kim: Tunasaka nafasi ya pili

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema wanaipa umuhimu mkubwa mechi ya mwisho ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia kwa lengo ni kuhakikisha wanamaliza wakiwa wa pili katika kundi hilo.   Mechi hiyo itachezwa Septemba 7 mwaka huu jijini Banjul, Gambia ambapo Taifa Stars inayodhaminiwa na …

Soma Zaidi

40 wapitishwa kuwania uongozi TFF.

Na Boniface Wambura, TFF Kamati ya Uchaguzi imepitisha majina ya waombaji 40 kati ya 58 kwa ajili ya uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi Tanzania (TPL Board) utakaofanyika mwezi ujao. Waliopitishwa katika orodha hiyo ya awali kwa upande wa Bodi ya Ligi ni …

Soma Zaidi

Kolo Toure akamilisha usajili Liverpool.

Klabu ya Liverpool imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Ivory Cost Kolo Toure kutoka Manchester City. Toure mwenye miaka 32 amesajiliwa na Liverpool kwa mkataba wa miaka miwili baada ya mkataba na Man City wanaomilikiwa na kampuni ya Etihad kumalizika. Ameichezea City jumla ya michezo 102 baada ya kusajiliwa …

Soma Zaidi

LeRoy ajiuzulu kuifundisha DR Congo

Claude LeRoy ameachia ngazi kama mkufunzi wa timu ya taifa ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Kocha huyo kutoka Ufaransa mwenye umri wa miaka 65 alichukua wadhifa huo wa kuifundisha timu ya Leoards kwa mara ya pili mwezi Septemba mwaka 2011. “niliwambia wachezaji wangu kwamba nitaachia ngazi baada ya miaka …

Soma Zaidi