Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani (Ukurasa 3)

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Aliyekuwa kocha wa Nigeria Stephen Keshi aaga dunia

Mmoja wa wachezaji maarufu wa soka barani Afrika Stephen Keshi amefariki akiwa na umri wa miaka 54 ,shirikisho la Nigeria limethibitisha. Nahodha huyo wa zamani wa kikosi cha Nigeria, Keshi,alikuwa mmoja wa watu wawili pekee kushinda michuano ya kombe la bara Afrika akiwa mchezaji na kocha. Pia alifunza Togo na …

Soma Zaidi

Makala: Nyerere agoma kukutana na Muhammad Ali

Maziko ya bondia huyo mzungumzaji sana yatafanyika Ijumaa huko Louisville. Ali ambaye alisumbuliwa na maradhi kiharusi kwa miaka 32, alifariki duniani mjini Phoenix, Arizona, jioni ya Ijumaa iliyopita baada ya kulazwa tangu Jumatatu kwa matatizo ya kupumua. Mazishi yake yatafanyika katika mji wa kwao Louisville, Kentucky, Ijumaa ijayo ambako bendera …

Soma Zaidi

Tanzania yajitoa kuandaa Kombe la CECAFA mwaka huu.

Shirikisho la Soka Tanzana (TFF), limetangaza kutoandaa michuano ya kuwania Kombe la Timu za Nchi Wanachama wa Shirikisho la Soka la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), maarufu kama Kombe la Kagame kwa mwaka 2016 kama ilivyopendekezwa. Taarifa iliyotolewa na TFF inaeleza kuwa, Shirikisho hilo limechomoa kuandaa mashindano hayo kwa sababu …

Soma Zaidi

Manchester United yamfuta kazi Louis van Gaal

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala pake.Raia huyo wa Uholanzi anaondoka baada ya kukamilisha miaka miwili ya kandarasi yake kati ya mitatu.Kitengo cha habari za michezo cha BBC …

Soma Zaidi

Serengeti Boys yatoka sare na Korea Kusini

Timu ya soka ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 19, 2016 imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Korea Kusini katika mfululizo wa michuano maalumu ya kimataifa iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka nchini humo (AIF …

Soma Zaidi