Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani (Ukurasa 4)

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Kikosi kipya cha Taifa Stars chatajwa Tanzania

Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi kitakachomenyana na Kenya Mei 29 uwanjani Kasarani, Nairobi. Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kwa timu zote mbili kujiandaa kwa michezo ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika mapema mwezi Juni, …

Soma Zaidi

Terry aongeza mwaka mmoja Chelsea

Beki wa Chelsea John Terry ametia saini kandarasi mpya ya mwaka mmoja na kiliabu hiyo ya Uingereza. Katika hotuba iliojaa hisia baada ya mechi ya mwisho dhidi ya Leiceter siku ya Jumapili,mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 ambaye kandarasi yake ilikuwa imekamilika alisema kuwa angependa kusalia katika klabu hiyo. …

Soma Zaidi

MICHUANO KOMBE LA TAIFA (KIKAPU)

Michuano ya Kombe la Taifa kwa mchezo wa  mpira wa kikapu inaendelea kutimua vumbi jijini Dar es saam, lakini ikikabiliwa na changamoto za udhamini na viongozi wa Shirikisho la Kikapu Tanzania (TBF), kutohudhuria kikamilifu katika michuano hiyo. Michuano hiyo inafanyika ikiwa na lengo la kukutanisha vilabu mbalimbali vya mchezo huo …

Soma Zaidi

West Ham walaza Manchester United

Klabu ya West Ham United iliaga uwanja wake wa nyumbani wa Upton Park kwa kuvuruga juhudi za Manchester United za kutaka kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumanne. Ilikuwa mechi ya mwisho kuchezewa uwanja huo ambao umetumiwa na West Ham kwa miaka 112 kabla ya kuhamia uwanja wa Olimpiki. …

Soma Zaidi