Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani (Ukurasa 5)

Michezo na Burudani

Star TV Michezo na burudani; soka/kandanda, muziki, mbio za magari, tenesi, riadha, kombe la mataifa afrika, ndondi/boxing, mbio za farasi, kombe la dunia, cecafa challenge cup, tanzania, kenya, ugana, rwanda, burundi, ethiopia, uganda, malawi, congo drc, somalia

Mchezaji soka wa Cameroon afariki uwanjani

Mchezaji wa soka ya kimataifa kutoka Cameroon, Patrick Ekeng, amefariki baada ya kuanguka uwanjani katika ligi ya Romania. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 alipoteza fahamu dakika saba tu baada ya kuingia uwanjani kuchukua nafasi ya mchezaji mwingine katika timu yake ya Dinamo Bucharest katika mji mkuu wa taifa …

Soma Zaidi

Liverpool yatinga fainali ya ligi Uropa

Jurgen Klopp amefanikiwa kuifikisha Liverpool katika hatua ya fainali ya ligi ya Uropa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Villarreal. Wakiwa nyuma kwa bao moja katika mchezo wa awali,Liverpool walisawazisha matokeo baada ya Bruno Soriano kujifunga. Daniel Sturridge aliongeza bao la pili baadae na kuanza kuidididmiza …

Soma Zaidi

Wimbo wa Snura wapigwa marufuku

Serikali imepiga marufuku wimbo uitwao chura wa msanii Snura Mushi kuchezwa katika vyombo mbalimbali vya habari hadi pale msanii huyo atakapoufanyia marekebisho wimbo huo. Serikali imesema kuwa kazi ya mwanamuziki huyo inadhalilisha tasnia ya muziki nchini Tanzania. https://youtu.be/riD7XVciEsY

Soma Zaidi

Manchester City wachapwa na Real Madrid

Manchester City wameshindwa kufika katika fainali za kwanza za klabu bingwa barani Ulaya (UEFA) baada ya kutolewa na mabingwa mara 10 wa michuano hiyo Real Madrid katika mchezo uliokua wa kuvutia tena wa aina yake. Walichapwa 1-0. Baada ya kutokuwa na ushindi wowote katika mzunguko wa kwanza, Real Madrid walianza …

Soma Zaidi

Atletico Madrid yatinga fainali ligi ya mabingwa

Klabu ya soka ya Atletico Madrid imefanikiwa kutinga fainali ya klabu bingwa barani Ulaya kwa mara ya pili ndani ya kipindi cha miaka mitatu baada ya kupata bao la ugenini walipokipiga dhidi ya Bayern Munchen ya Ujerumani. Atletico wakiwa na faida ya bao la nyumbani katika nusu fainali ya kwanza …

Soma Zaidi

Yanga Fainali-kombe la Shirikisho

Klabu ya soka ya Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga. Hali hiyo imekuja baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo uliofanyika Aprili 24, 2016 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Mashindano ya …

Soma Zaidi

Bayern Munich wafungwa 1-0 na Atletico Madrid

Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa barani Ulaya hatua ya nusu fainali imeendelea tena jana, Atletico Madrid wakipata ushindi dhidi ya Bayern Munich katika dimba la Vicente. Atletico walichomoza na ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Saul Niguez. Timu hizo zitarudiana tena wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa mwisho …

Soma Zaidi

Azam FC yaingia fainali

Klabu ya soka ya Azam fc imefanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho (FA CUP) baada ya kuibwaga Mwadui FC kwa Penati 5-3 Penalti hizo zilipigwa baada ya Sare ya 2-2 katika Dakika 120 za Mchezo. Azam FC walitangulia kuifunga Mwadui FC kwa Bao la Dakika ya 3 …

Soma Zaidi

Toto Africans yawazingua Simba

Toto Africans, wamewazuia wekundu wa Msimbazi Simba Sport klabu kurejea kileleni mwa ligi kuu Tanzania. Baada ya kuwachapa kwa bao 1-0 katika mchezo ulichezwa kwenye uwanjwa wa taifa. Bao lililopeleka simanzi Msimbazi lilifungwa Dakika ya 20 ya mchezo na mchezaji Waziri Shentembo kwa Shuti kali lililopigwa toka umbali wa la …

Soma Zaidi