Arusha wasusia uchaguzi wa viongozi

Arusha wasusia uchaguzi wa viongozi

- in Michezo na Burudani

Chama cha riadha mkoa wa Arusha kimepinga kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa shirikisho la mchezo huo hapa nchini  RT kwa madai kuwa Baraza la michezo la Taifa BMT limevunja katiba ya chama cha riadha .

Madai mengine ya Chama hicho  kukataa kufanya uchaguzi  ni kutokana na kutokuwepo kwa taarifa ya mapato na matumizi ya shirikisho kwa muda wa miaka minne

Facebook Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like

Mtibwa Sugar yaiondosha Polisi Moro kombe la FA

Timu ya maafande wa Polisi Morogoro inayoshiriki ligi