Sunday , September 24 2017
Mwanzo / admin

admin

Mshambulizi Paris atajwa kuwa ni Omar Mostefai

Mshambulizi Paris atajwa:Omar MostefaiWaendesha mashtaka wanaouchunguza matukio ya mashambulio ya kigaidi mjini Paris Ufaransa wamemtaja mmoja wa washambuliaji 7 wa kujitoa mhanga. Omar Ismail Mostefai mwenye umri wa miaka 29 anasemekana kuwa ni raia wa ufaransa aliyekuwa anachunguzwa na polisi wa kupamabana na ugadi kabla hajatoweka. Mtu huyo tayari alikuwa …

Soma Zaidi

Gari la pili la wavamizi lapatikana Paris

Gari la pili lililotumika na wavamizi lapatikana ParisPolisi wa Ufaransa wamelipata gari la pili linalofikiriwa lilitumika katika mashambulio ya Ijumaa usiku mjini Paris. Gari hilo la aina ya Seat, lilipatikana limeachwa mashariki mwa jiji. Aidha gari hilo liinavoripoitiwa lilikuwa na silaha. Awali gari lilokodiwa Ubelgiji, lilipatikana hapo jana, karibu na …

Soma Zaidi

Watu 10 pekee wapinga muhula wa 3 wa Kagame.

KagameMaafisa nchini Rwanda wanasema kwamba baada ya mashauriano ya kitaifa ni watu kumi tu wanaompinga rais Kagame kuwania muhula wa tatu. Gazeti la New Times lililo karibu na serikali linasema kati ya watu milioni mbili walioshauriwa kuhusu kufanyia katiba mageuzi ni watu kumi tu waliopinga fikra hiyo. Katiba inasema rais …

Soma Zaidi

Mlipuko wawaua watu 47 Nigeria

Mlipuko NigeriaJeshi nchini Nigeria linasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa katika soko moja kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno ambapo watu 47 wamefariki huku wengine 55 wakijeruhiwa katika mji wa sabon gari. Haijulikani iwapo mlipuko huo ulisababishwa na mlipuaji wa kujitolea muhanga ama kilipuzi kilichotegwa katika soko hilo. Kundi la Boko …

Soma Zaidi

Wapiganaji wa Kikurdi washambuliwa

Makabiliano kati ya wanajeshi wa Uturuki na wapiganaji wa PKKUturuki imeanzisha tena msururu wa mashambulizi dhidi ya wapiganaji wa Kikurdi yanayolenga maeneo 17 kusini mashariki, kwa mujibu wa jeshi Maeneo hayo yapo mkoani Hakkari katika mpaka na Iran pamoja na Iraq. Uturuki imushuhudia ghasia zaidi katika wiki za hivi karibuni …

Soma Zaidi

Ugiriki yakubaliana na wakopaji wake

waziri wa fedha nchini Ugiriki TsokalotosUgiriki inasema kuwa imekubaliana na wakopaji wake mpango wa kuikwamua kutoka kwa deni lake kulingana na waziri wa fedha nchini humo Euclid Tsakalotos. Hatahivyo kuna maswala mawili ama matatu ambayo bado hatujayaangaiza na wakopaji hao alisema Tsakalotos. Makubaliano hayo yalihitajika ili kulifanya taifa hilo lisalie …

Soma Zaidi

Afrika yaadhimisha mwaka mmoja bila Polio

Afrika imepiga hatua kubwa katika kuangamiza ugonjwa wa kupooza Polio. Bara hili linaadhimisha mwaka mmoja tangu kisa cha mwisho kiripotiwe katika mtoto mdogo nchini Somalia. Huku wataalam wa afya wakifurahishwa na hatua zilizopigwa Shirika la afya duniani limeonya dhidi ya kulegeza msimamo . Linasema kuwa chanjo dhidi ya watoto inapaswa …

Soma Zaidi

Twiga Stars kujipima ubavu na Harambee Starlets.

TIMU ya Taifa ya  Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) iliyopo kambini kisiwani Zanzibar, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya Wanawake kutoka Kenya (Harambee Starlets) Agosti 23, 2015. Mchezo huo wa kirafiki utachezwa katika uwanja wa Aman Kisiwani Zanzibar, ikiwa ni sehmu ya maandalizi ya kikosi hicho …

Soma Zaidi

Dr.John Magufuli ndiye mgombea urais CCM.

Chama tawala nchini Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza daktari John Magufuli kuwa mgombea wake wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu wa ujao. Daktari John Magufuli, alisajili asilimia 87 % ya kura za wajumbe, hiyo ikiwa ni kura 2104. Kwa mujibu wa akaunti ya twitter ya CCM ametapata asilimia …

Soma Zaidi