Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Emmanuel Minga (Ukurasa 2)

Emmanuel Minga

Maadili zaidi yasisitizwa katika Elimu.

Wasomi nchini wameaswa kutumia karama walizopewa na Mwenyezi Mungu kurudisha maadili mema katika jamii ambayo yanaendelea kumomonyoka.Walimu wanatajwa kuwa nguzo muhimu katika kurejesha maadili yaliyomomonyoka katika jamii ya watanzania kutokana na kuwa na wigo mpana wa kufundisha watu wakubwa kwa wadogo.Ni katika ibada maalumu ya ufunguzi wa chuo kipya cha …

Soma Zaidi

Elimu zaidi yahitajika.

Baadhi ya viongozi wa Halmashauri ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Magharibi A wamesema iko haja ya kutolewa elimu kwa wananchi na baadhi ya Viongozi ili watambue majukumu yao katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama na kuepuka mifarakano inayoweza kusababisha kutengeneza makundi kwa wanachama katika majimbo mbalimbali. Inasemekena …

Soma Zaidi

Arusha wasusia uchaguzi wa viongozi

Chama cha riadha mkoa wa Arusha kimepinga kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa shirikisho la mchezo huo hapa nchini  RT kwa madai kuwa Baraza la michezo la Taifa BMT limevunja katiba ya chama cha riadha . Madai mengine ya Chama hicho  kukataa kufanya uchaguzi  ni kutokana na kutokuwepo kwa taarifa …

Soma Zaidi

Bidhaa feki zakamatwa Sinza mkoani Dar-es Salaam

Naibu waziri wa Afya na maendeleoya jamii,jinsia,wazee na watoto, Mhe. Dkt. hamisi Kigwangalla,ambaye anaongoza timu ya Serikali yenye wataalamu na wanausalama ,kusaka viroba feki na pombe nyingine haramu,amekamata shehena kubwa yaya bidhaa hizo feki na haramu kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo kukifuma kiwanda bubu kinachotengeneza Konyagi na Smirnnoff fekimaeneo ya Sinza. …

Soma Zaidi

Kuimarishwa uwanja wa Nyamagana

Mipango ya kuendeleza soka la vijana huenda ikawa na tija endapo tu serikali chini ya ilani ya Chama cha Mapinduzi itafikia makubaliano ya sera ya kubinafsisha baadhi ya viwanja vyake vya michezo inavyovimiliki nchini.Hatua hiyo inaweza kufikia viwango vya kimataifa vya ubora wa viwanja kwa wadau kujitokeza kuwekeza na kuleta …

Soma Zaidi

TETEMEKO LA ARDHI.

Kumetokea  tetemeko  kubwa  la  ardhi  nchini New Zealand  likiwa  na  kipimo  cha  6.2  mzani  wa Ritcher  mapema  limetanguliwa  na  lingine  lenye  kipimo  cha  7.8 mzani  wa Ritchter  kwa  pamoja  yameacha  hasara  kubwa  ikikadriwa  kugharimu  mamilioni  ya Dola.

Soma Zaidi