Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Emmanuel Minga (Ukurasa 3)

Emmanuel Minga

MATUMIZI MABAYA FEDHA ZA UMMA

Kutohusishwa kwa madiwani katika sheria ya manunuzi ya Umma kumetajwa kuwa miongoni mwa mianya ya matumizi mabaya ya fedha zinazopelekwa kwa ajili ya miradi ya jamii.Kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya mwaka 2001, madiwani wanapaswa kuwa wasimamizi tu wa hatua zote lakini watendaji wamekuwa wakitumia vibaya nafasi hiyo na …

Soma Zaidi

STAR TV PROGRAMS-14/11/2016 (Monday)

STAR TV PROGRAMS-14/11/2016 (Monday) SI.No           Time Segments             Program Title 01                 00:00 to 03:30            Bridges of Love 02                 03:30 to 04:30 …

Soma Zaidi

• SHERIA 17 ZA SOKA: Waamuzi walaumiwa kuziweka

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara, ikifikia tamati ya mzunguko wa kwanza, mashabiki wa soka wametoa tathimni ya Ligi hiyo huku wakiwatupia lawama waamuzi kwa kutofuata sheria kumi na saba za soka. Mashabiki hao, wamesema ushindani ni pale kila timu kuweza kuonyesha uwezo wao , hususan kwa timu ambazo zimepanda Ligi …

Soma Zaidi

WALIONUNUA VIWANDA MKOANI MARA

Mkuu wa mkoa wa Mara Dokta Charles Mulingwa amewataka wawekezaji waliouziwa viwanda na serikali mkoani humo kurejea na kuvifungua haraka kabla ya kuchukuliwa hatua kwa kitendo cha kupingana na agizo la Rais la wale wote waliouziwa viwanda kuvifungua kutokana na kuvigeuza maghala ya kuhifadhia mali zao. Ametoa agizo hilo wakati …

Soma Zaidi

Mji wa Kahama Shinyanga wakithiri kwa uchafu

Wakati kampeni ya usafi wa mazingira za Serikali awamu ya tano zinazolenga kuhakikisha miji na makazi ya watu yanakuwa masafi, katika mji wa Kahama mkoani Shinyanga baadhi ya maeneo yameonekana kukithiri kwa uchafu. Star Tv imetembelea eneo la Majengo kwenye Halmashauri ya mji huo kujionea utekelezaji wa kampeni ya usafi …

Soma Zaidi

KESI YA CHAMA CHA CUF

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeisogeza mbele kesi ya Chama cha Wananchi (CUF) iliyofunguliwa na Bodi ya wadhamini ya chama hicho dhidi ya Profesa Ibrahim Lipumba, msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi pamoja na watu 12 kwa madai ya kukihujumu chama hicho. Shauri hilo limeahirishwa …

Soma Zaidi

CHAVITA chaomba serikali kutekeleza mikataba kwa vitendo

Chama cha Viziwi Tanzania CHAVITA kimeiomba Serikali kutekeleza kwa vitendo mikataba yote ya kimataifa iliyoiridhia na kuisaini ikiwemo inayohimiza kila raia kuwa na haki ya kupata habari. Miswada mingi iliyopitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kutungiwa Sheria bado haijaanza kutekelezwa hali inayowapa wakati mgumu Viziwi kupata …

Soma Zaidi