Saturday , September 23 2017
Mwanzo / Joseph Richard

Joseph Richard

Mwanafunzi wa KCMC auawa kwa kumchomwa na kitu chenye ncha kali

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu taaluma ya Famasia katika chuo cha udaktari cha KCMC mjini Moshi mkoani Kilimanjaro amefariki dunia baada ya kuvamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa vibaka na kumchoma kitu chenye ncha kali katika harakati za kumnyang’anya simu. Tuko hilo la kusikitisha limetokea jana usiku majira ya saa nne …

Soma Zaidi

Rais Shein aongoza Dua ya kumwombea Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Ali Mohammed Shein ameongoza Dua ya pamoja ya kumuombea Rais wa awamu ya kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume aliyeuawa tarehe 7 Aprili, 1972. Viongozi na wananchi wamejumuika katika ofisi za Chama cha Mapinduzi zilizopo kwenye kisiwa cha Nduwi …

Soma Zaidi

Serikali kupeleka bungeni muswada wa mabadiliko Tasnia Ya Habari:

Serikali inakusudia kupeleka bungeni muswada wa sheria ya mabadiliko kwa watumishi wa tasnia ya habari ili kukuza uweledi wa taaluma hiyo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameiambia Star tv kuwa pamoja na masuala mengi muswada huo utatazama juu ya sifa za kufuzu kuwa Mwandishi wa Habari. …

Soma Zaidi

TCRA yatoa wiki mbili kwa wadaiwa kulipa madeni yao

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma ambao hawajalipa madeni yao kufanya hivyo haraka kabla Mamlaka haijachukua hatua zaidi za kisheria ikiwa ni pamoja na kufutiwa leseni na kukabidhiwa kwa kampuni ya kudai madeni. TCRA imesema tayari watoa huduma 18 waliosimamishiwa leseni zao wameshawasilishwa kwa mdai madeni aliyeteuliwa na …

Soma Zaidi

Wakulima Njombe wadai kupunjwa na walanguzi

Wakulima nchini wataendelea kupunjwa na walanguzi wanaonunua mazao kwa ujazo wa Lumbesa endapo Serikali haitaweka mikakati thabiti ya kuzuia ujazo huo kwa nchi nzima. Kukosekana kwa elimu ya matumizi sahihi ya vipimo vya mizani wakati wa uuzaji wa mazao ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuwapa nguvu walanguzi kuendelea kuwapunja wakulima. Ujazo …

Soma Zaidi

 Mbunge Njalu kuchangia madawati 5,000

Mbunge wa jimbo la Itilima mkoani Simiyu Njalu Silanga ameahidi kutengeneza madawati elfu tano yenye thamani ya milioni 400 ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati wilayani Itilima Hii ni sehemu ya mkakati wa kuunga mkono agizo la Rais Magufuli katika kumaliza changamoto ya uhaba wa madawati nchini. Njalu amesema yeye akiwa mdau …

Soma Zaidi