Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Joseph Richard (Ukurasa 10)

Joseph Richard

Kiwanda cha A to Z Arusha chatozwa faini

Kufuatia kukiuka  sheria za utunzaji mazingira katika  sehemu za kazi Naibu waziri ofisi ya makamu wa Rais muungano na  mazingira Luhaga Mpina amekipa siku saba  kiwanda cha A to Z kilichopo  mkoani  Arusha kulipa adhabu ya faini ya shilingi million sabini,na kuongeza kuwa kutokulipwa kwa gharama hiyo kutasababisha kiwanda hicho …

Soma Zaidi

Serikali na DACOBOA zakubaliana kuwasafirisha bure Walimu

Wamiliki wa Mabasi ya Daladala Mkoani Dar Es Salaam- DACOBOA na Serikali ya Wilaya ya Kinondoni, wamefikia makubaliano ya kuanzisha utaratibu wa kuwasafirisha bure Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari Jijini Dar es salaam. Mpango huo uliyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda utaanza kutekelezwa March 7 …

Soma Zaidi

Waziri Mahige awataka  Watanzania kutumia fursa za kibiashara

Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Agustine Mahiga amewataka watanzania  kuchangamkia fursa za kibiashara zinazoletwa na Mtangamano wa Afrika Mashariki kupitia mfumo wa utandawazi ili kuongeza ushindani wa kibiashara na kuleta maendeleo ya nchi kwa pamoja kwenye ukanda wa Afrika Mashariki. Balozi Mahiga amesema nchi moja moja haziwezi kumudu na …

Soma Zaidi

Mashindano Kili Marathon  Watanzania wajigamba kufanya vizuri.

  Watanzania wamejigamba kufanya vyema katika mbio za kimataifa za kilimanjaro Marathon  zinazotarajiwa kutimua vumbi hapo Jumapili hi Feb  katika viwanja vya  Ushirika Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro. Tayari maandalizi ya Mbio hizo yamekamilika huku zaidi ya washiriki elfu 8 kutoka mataifa 45Duniani kote  wakitarajiwa kushiriki mbio hizo. Ikiwa ni miaka kumi …

Soma Zaidi

Waziri  Kitwanga atangaza hali ya hatari kwa majambazi

Siku moja baada ya majambazi kuvamia benki ya Acces iliyopo mbagala jijini Dar es salaam, kuua watu watatu, akiwemo askari wa jeshi la polisi, kujeruhi na kutoroka na fedha zinazokadiriwa kuwa kati ya milioni 20 mpaka 30, Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga kwa kushirikiana na jeshi la polisi …

Soma Zaidi

Waziri mkuu aonya waishio mabondeni

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim majaliwa amewataka wananchii wote wanaoishi maeneo yanayofikiwa na maji na kusababisha mafuriko Kuhama nakutafuta sehemu za kujihifadhi kutokana na mvua Kubwa ambazo zinatarajia Kunyesha Mwezi Ujao. Majaliwa ameyasema hayo wakati akiongea na wakazi wa Mkoa wa Mtwara kabla ya kufanya ziara …

Soma Zaidi

Loata Sanare achaguliwa mwenyekiti Monduli uchaguzi CCM.

  Chama cha Mpinduzi Wilaya ya Monduli kimejinasibu kurejesha heshima ya chama hicho baada ya kufanya uchaguzi na kumpata mwenyekiti mpya ambaye ataongoza kwa kipindi cha mwaka mmoja  kutokana na aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Ruben Ole Kuneyi  kukimbilia upinzani wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Baada ya uchaguzi …

Soma Zaidi