Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Joseph Richard (Ukurasa 141)

Joseph Richard

Jimbo la Busega lageuka uwanja wa mapambano

Baadhi ya wagombea wa chama cha mapinduzi CCM wanaowania nafasi ya Ubunge jimbo  la Busega Mkoani Simiyu akiwemo aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Titus Kamani wamepinga  Matokeo yaliyotangazwa kwa utata kufuatia uchaguzi wa marudio wa kura za maoni wakidai yamechakachuliwa. Madai ya wagombea hao ni kufanyika kwa majumuisho nyakati za …

Soma Zaidi

TALGWU waitaka serikali kuwalipa stahiki zao shilingi bil.18

Baadhi ya viongozi wa chama cha wafanyakazi Serikali za Mitaa TALGWU Mkoani Mwanza wameitaka serika kuwalipa stahiki zao haraka kiasi cha shilingi billion 18 ikiwa ni moja ya malimbikizo ya stahiki zao.ahadi ya serikali Wamesema kuwa licha ya Rais wa jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwetwe kutoa tamko …

Soma Zaidi