Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Joseph Richard (Ukurasa 20)

Joseph Richard

Wakazi Vicheji waiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi:

Wakazi wa kata ya Vicheji Wilaya ya Mkuranga wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa Shamba lililotelekezwa kwa zaidi ya miaka 30 huku mmiliki wa shamba hilo akiwa hafahamiki. Licha ya sintofahamu hiyo ya umiliki, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vicheji, Ramadhani Lugome amedaiwa kutotoa ushirikiano kwa wananchi ili kutafuta …

Soma Zaidi

Mwakyembe ataka Rais asishinikizwe kuhusu mgogoro Zanzibar

  Waziri wa Katiba na Sheria Dokta Harrison Mwakyembe, amewataka Wanasiasa wasimshinikize Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Magufuli, kuingilia mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar katika maeneo ambayo ni kinyume na Katiba. Dokta Mwakyembe amesema si kweli kuwa Rais Magufuli ameupuuza mgogoro huo bali amefanya jitihada kubwa …

Soma Zaidi

Watumiaji simu watakiwa kuchunguza simu zao

Watumiaji wa simu za mkononi wameonywa kujihadhari na matumizi ya simu bandia na zisizokidhi viwango vya ubora ambazo tayari zimetangazwa kupigwa marufuku na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kuanzia Mwezi Juni Mwaka huu. Kutokana na sababu hiyo, Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo nchini imeanza kampeni maalum ya kuhamasisha wateja wake …

Soma Zaidi

Polisi yamuhoji Tundu Lissu kwa saa moja

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemhoji kwa muda wa saa moja Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu akihusishwa na tuhuma za uchochezi. Uchochezi unaodaiwa kufanywa na Lissu ni wa kutoa maelezo kwenye mahojiano yake na mwandishi wa gazeti la Mawio kuhusu uchaguzi wa Zanzibar. Tundu Lissu …

Soma Zaidi

Waziri Angelina apiga marufuku tozo kwa mabaraza ya ardhi

Serikali imepiga marufuku tabia ya mabaraza ya ardhi nchini kuomba tozo kwa wananchi kiasi cha shilingi elfu thelathini kwa ajili ya kupeleka majalada ya kesi zao mahakama kuu kusikilizwa. Kitendo cha kuomba fedha kwa wananchi kinatajwa kuwa ni kinyume na taratibu za kuongoza mabaraza hayo na hivyo kushindwa kufikia malengo …

Soma Zaidi

TBS, Polisi waendelea kuyaondoa sokoni matairi yasiyo na viwango:

  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Temeke limeendelea na Operesheni kuyaondoa matairi yaliyotumika ambayo Serikali ilikwisha piga marufuku kuwepo sokoni. Mbali na Operesheni hiyo inayohusisha Nchini nzima, Mamlaka hiyo imekusanya shehena kubwa ya bidhaa hiyo katika Manispaa ya Temeke ambapo wafanyabiashara …

Soma Zaidi

Vifo vya wajawazito, watoto wachanga vyapungua Geita

  Hospitali Teule ya Rufaa Mkoa wa Geita imefanikiwa kupunguza vifo vya wanawake wajawazito wanaopoteza maisha wakati wa kujifungua kutokana na hospitali hiyo kuwa na vifaa tiba vya kisasa. Daktari mfawidhi Hospitali teule ya rufaa ya Geita Adam Sijaona  amesma Kwa mwaka 2013 hadi 2015 jumla ya vifo 93 vya …

Soma Zaidi

Shirika la UNHCR latakiwa kutafuta ufumbuzi wa wakimbizi

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetakiwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa uharibifu wa mazingira unaoendelea kujitokeza ndani na nje ya kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma.   Katika kikao cha baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo imeelezwa kuwa ongezeko la wakimbizi nchini linakwenda sanjari na ukatwaji wa misitu kwa ajili ya …

Soma Zaidi