Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Joseph Richard (Ukurasa 3)

Joseph Richard

Obama atahadharisha juu ya ugaidi wa silaha za nyuklia

Katika mkutano wa kilele kuhusu usalama wa nyuklia huko mjini Washington, Rais wa Marekani Barack Obama ametahadharisha juu ya watu aliyowaita “wandawazimu” akimaanisha magaidi wa kundi linalojiita dola la kiislamu IS, kuwa wanaweza kufanya  janga  la shambulizi kwa  kutumia silaha za nyuklia bila ya kusita. Rais Obama ambaye anatarajiwa kuondoka …

Soma Zaidi

Zuma akubali makosa kuhusu ukarabati Nkandla

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekubali uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba uliompata na hatia kuhusiana na ukarabati uliofanywa katika makao yake ya kibinafsi eneo la Nkandla. Akihutubia taifa hilo moja kwa moja kupitia runinga, Bw Zuma amesifu mahakama hiyo na kusema imedhihirisha kuwepo kwa uhuru wa mahakama nchini humo. …

Soma Zaidi

Kenya Airways kuwafuta kazi wafanyikazi 600

Wafanyikazi 600 wa Shirika la Ndege la Kenya, Kenya Airways watapoteza kazi zao katika juhudi za kulichepua shirika hilo. Kenya Airways ilitangaza hasara ya dola milioni 270 mwaka uliopita, ikiwa ndio hasara kubwa zaidi kuripotiwa na kampuni nchini Kenya. Makali ya hasara yalioripotiwa na kampuni hiyo sasa yameanza kuwalenga wafanyikazi …

Soma Zaidi

Ligi ya EPL kurejelewa wikendi hii

Ligi Kuu ya Uingereza itarejelewa wikendi hii baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa leo Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi nane. Aston Villa watatanguliza kwa kuwakaribisha Chelsea kwao nyumbani, huku Tottenham wakifunga siku kwa mechi ugenini Liverpool. Ratiba ya mechi: Leo Jumamosi 2 Aprili (Saa za Afrika Mashariki). Aston Villa v …

Soma Zaidi

Watuhumiwa saba wa sakata la kusafirisha tumbili wafikishwa mahakamani Moshi

Raia wawili wa Uholanzi pamoja na Watanzania watano wanaohusishwa na tuhuma za kusafirisha wanyama hai 61 aina ya Tumbili kupitia uwanja wa Ndege wa Kimataifa KIA wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kusomewa mashitaka manne yanayowakabili likiwemo la uhujumu uchumi.  Kesi hiyo namba 1ya mwaka 2016 inayoongozwa na mawakili …

Soma Zaidi

Waziri Mkuu aombwa kuingilia kati sakata la usafirishaji tumbiri.

  Sakata la hivi karibuni la kukamatwa kwa wanyama aina ya Tumbili katika Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro KIA limechukua sura mpya baada ya chama cha wasafirishaji Viumbe hai TWEA kumwomba Waziri Mkuu Kasim Majaliwa aingilie kati suala hilo kutokana na usafirishaji wa wanyama hao kufuata taratibu zote. Juma lililopita …

Soma Zaidi

EWURA yashusha bei ya Umeme kwa asilimia 1.5 hadi 2.4

  Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji EWURA imeshusha gharama za bei ya umeme kwa asilimia 1.5 hadi 2.4 licha ya maombi ya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO yaliyowasilishwa EWURA ya maombi ya kushuka bei kwa asilimia 1.1 ifikapo Aprili mosi, mwaka huu. Hatua hiyo itawalazimu wateja wadogo wa …

Soma Zaidi

Watuhumiwa wanne wa milipuko  watiwa mbaroni Zanzibar

  Jeshi la Polisi Zanzibar linawashikilia watuhumiwa wanne wa usambazaji uratibu na ulipuaji wa milipuko ambayo imetokea kabla ya uchaguzi wa marejeo katika maeneo mbalimbali visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa Kamishna Msaidizi Naibu Mkurugenzi Upepelezi na Makosa ya Jinai Salum Msangi, watuhumiwa hao ambao wanaendelea kuhojiwa wamekiri kuhusika na kutaja maeneo ambayo waliyalenga katika …

Soma Zaidi

Mkutano wa Dunia wa wabunifu majengo wafanyika Tanzania

Mkutano wa Dunia wa wabunifu majengo umefanyika jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya kubadilishana uzoefu na utaalamu katika tasnia hiyo. Mkutano huo umezihusisha nchi wanachama 120 duniani chini ya Rais wake wa Dunia Esa Mohamed ukiwa na lengo la kuboreshataaluma ya wabunifu majengo na kuhamasisha ujenzi …

Soma Zaidi