Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Joseph Richard (Ukurasa 30)

Joseph Richard

Wakazi Namtumbo Ruvuma waomba kitengo cha upasuaji

Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Ruvuma wameombwa kufikisha Ombi la Wanawake kuwa na Kitengo cha Upasuaji katika Kituo cha Afya cha Mkongo wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma. Ombi hilo limetolewa wakati Wanawake na Viongozi wa UWT Mkoa wa Ruvuma walipotembelea Kituo cha Afya cha Mkongo …

Soma Zaidi

TCRA yawataka Watanzania kuwa watambuzi wa vifaa bandia:

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanzia TCRA imewataka watanzania  wanaotumia vifaa vya mawasiliano zikiwemo simu za kiganjani  pamoja na TABLETS kuhakiki vifaa hivyo kupitia mfumo wa kieletroniki  wa RAJISI  unaotowa kumbukumbu za namba tambulishi ili kujuwa kifaa unachotumia kimekidhi viwango  au ni babaishi kwa lengo la kuepuka kuzimiwa kifaa hicho ifikapo juni …

Soma Zaidi

Wilaya ya Rorya yadhamiria kufufua viwanja vya Michezo.

Katika kuibua vipaji na kuinua viwango vya michezo kwa vijana wilayani Rorya mkoani Mara Uongozi wa Halmashauri hiyo chini ya kaimu mkurugenzi mtendaji Charles Chacha umedhamiria kufufua viwanja vyote vya tarafa vilivyo kuwa havitumiki na vingine kuvamiwa na watu na kubadilisha matumizi ya viwanja hivyo . Hayo yamebainishwa  na Kaimu …

Soma Zaidi

Wananchi waonesha kutoridhishwa na utendaji wa mihimili ya utoaji haki:

Wananchi bado wameonesha kutokuridhishwa na utendaji wa baadhi ya watumishi katika mihimili ya utoaji wa haki ikiwemo mahakama,ambapo baadhi yao wanadaiwa kutoa maamuzi katika mazingira ya ukikwaji wa haki. Matukio ya kubambikiziwa kesi na mara nyingine ucheleweshwaji wa makusudi wa usikilizwaji wake ni miongoni mwa mambo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalalamikia …

Soma Zaidi

Mkoa wa Kigoma wajizatiti kuyakabili magonjwa ya kuambukiza

Mkoa wa kigoma umesema umejipanga kuhakikisha unakabiriana na milipuko ya magonjwa ya  kuambukiza yanayoweza kungizwa  hapa  nchini  kutokana na  ujio wa wageni  waingiao   kupitia mkoa huo. Kauli hiyo inakuja ikiwa ni chache tangu serikali itoe tamko na kuwahakikishia kuwa Tanzania bado haina maambukizo ya homa ya Zika Homa ienezwayo na Mbu aina ya Edes jambo ambalo awali …

Soma Zaidi

Mwalimu aliyefukuzwa kazi Geita aishi darasani kwa miaka 10  

  Mwalimu wa shule ya msingi Mwagimaji iliyopo kata ya Nyanguku Mjini Geita Hamis Mumwi anayedaiwa kumpa mimba mwanafunzi kisha kumuoa ameendelea kuishi katika darasa moja lililopo katika shule hiyo na familia yake takribani miaka 10 licha ya kufukuzwa kwa kosa hilo. Mwalimu huyo imedaiwa alifukuzwa mwaka 2002 na amekuwa …

Soma Zaidi

Mama Magufuli aziomba taasisi kusaidia wazee

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Janeth Magufuli ameziomba na kuzihamasisha taaasisi za serikali na zisizo za serikali kushirikiana kwa pamoja kutatua changamoto zinazowakabili wazee walio katika vituo na wale wasio kwenye vituo. Amesema ni jukumu la kila Mtanzani kwa nafasi yake kushirikiana na Serikali kuwasaidia wazee  …

Soma Zaidi

Serikali yashauriwa kuharakisha upatikanaji wa katiba mpya

  Jaji Mkuu wa Kenya Dokta Willy Mutunga ameishauri Serikali ya Tanzania kuharakisha mchakato wa Katiba Mpya iliyopendekezwa  ili itoe fursa kwa mahakama nchini kufanya kazi zake kwa uwazi na weledi pamoja na kuwashirikisha wananchi hasa katika uteuzi wa majaji wakuu. Amesema, ili hilo litekelezwe kwa ufanisi Katiba pekee ndiyo …

Soma Zaidi

Sheikh Ponda Apingana Na Sheikh Alhad

  Kiongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda amepinga uamuzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kurudia uchaguzi visiwani humo. Amedai kitendo cha ZEC kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika Octoba 25 mwaka 2015, hakikuwa na sababu za msingi kutokana na uchaguzi huo kufanyika kwa mujibu wa …

Soma Zaidi