Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Joseph Richard (Ukurasa 4)

Joseph Richard

Ferguson aipa nafasi Leicester City kutwaa taji ligi kuu

Meneja wa zamani wa Man United, Sir Alex Ferguson anaamini Leicester City wanastahili kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu msimu huu. Leicester wamekuwa na msimu mzuri 2015-2016 wakiwa wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama tano huku wakiwa wamebaki na mechi saba. Msimu uliopita wote ulikuwa wa wasiwasi kwa Leicester kwani walikuwa …

Soma Zaidi

Wabunge watatu wapandishwa kizimbani Kwa tuhuma za rushwa:

Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kushawishi rushwa ya Shilingi Milioni 30 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro. Wabunge hao ambao ni wajumbe wa Kamati za kudumu za …

Soma Zaidi

Mahakama Kuu Shinyanga yatupilia mbali shauri la Lembeli

 Mahakama kuu  kanda ya Shinyanga imetupilia mbali shauri la kutenguliwa kwa matokeo ya kiti cha ubunge katika jimbo la Kahama Mjini lililofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA James Lembeli dhidi ya mpinzani wake Jumanne Kishimba ambaye alishinda ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM.  Kabla  …

Soma Zaidi

Kesi ya Wenje kuendelea kusikilizwa tena leo March 31, 2016

Mahakama kuu kanda ya Mwanza imelazimika kuahirisha kesi ya uchaguzi namba 3 ya mwaka 2015, baada ya upande wa mlalamikiwa Stanslaus Mabula Mbunge wa sasa wa Nyamagana kuiomba Mahakama iwape muda ili wajipange kujibu hoja za mlalamikaji Ezekiel Wenje. Mlalamikaji Wenje aliiomba mahakama ikubali ushahidi wa mashahidi wake tisa na …

Soma Zaidi

Polisi yaonya wanaotumia majina ya viongozi kutapeli

Jeshi la Polisi Nchini limepiga marufuku vitendo vya baadhi ya watu kutumia majina ya viongozi serikalini kutapeli na kujiingizia fedha kinyume cha sheria. Aidha jeshi hilo limewakamata watu 13 wakiwa na sare za jeshi la wananchi zilizokuwa zikitumiwa kufanyia uhalifu. Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro …

Soma Zaidi