Naibu waziri wa Afya na maendeleoya jamii,jinsia,wazee na watoto, Mhe. Dkt. hamisi Kigwangalla,ambaye anaongoza timu ya Serikali yenye wataalamu na wanausalama ,kusaka viroba feki na pombe nyingine haramu,amekamata shehena kubwa yaya bidhaa hizo feki na haramu kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo kukifuma kiwanda bubu kinachotengeneza Konyagi na Smirnnoff fekimaeneo ya Sinza.

kiwanda hicho kinatengeza vinywaji hivyo kwa kutumia ‘Spirit’ ambayo inachanganywa  na ‘gongo’,spirit,gongo,chupa tupu na zilizojazwa,vizibo,vifungashio vimekamatwa.Polisi inawashikilia

watu wawiliambao inasemekanawanafanya kazi pamoja na bwanaYusuph Abdul Kalambo ambaye anatafutwa na polisi mpaka sasa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here