Saturday , September 23 2017
Mwanzo / Contact Us

203 Maoni

  1. Hatujafurahishwa na kurudiwa kwa tamthilia ya the promise kutoka epsode ya 30 kwani watazamaji walio wengi tulikuwa tunafuatilia hadi ilipokuwa imefikia.

    Ilitakiwa mungeweka siku maalum kama j5, alhamis na ijumaa kwa ajili ya hao waliotaka irudiwe. Tafadhali tunaomba mlifikirie hilo upya kwa faida ya watazamaji wengi la sivyo mtapoteza mvuto. Asante.

  2. Ndugu mnaondaa na watangazaji wa star TV. Tunapenda sana taarifa zenu. Kinachotukera nikuwa mnatangaza matangazo ya vipindi vya dini wakati wa taarifa ya habari. Please matangazo hayo yanakera. Kwani kila mmoja anaimani tufauti. Je hamuwezi kutangaza kupitia star religion? Kwa star TV habari haina dini. Matangazo hayo yanatisha kwani graphic hizo zinaogopesha watoto. Asante, ndimi kipenzi wa channel ya star TV habari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *