Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Contact Us

203 Maoni

 1. Jamani startv, hebu fanyeni balance ya sauti toka studio. yaan sauti IPO juu kupita kiasi. yaan tunapunguza sauti mpaka chini kabisa lakini bado ni kelele tu. sauti haina mchujo. (King’amuzi cha star times)

 2. Comment… Helo mimi ni mmoja wa watazamaji wa vipindi vyenu. kuna tatizo moja katika kipindi chenu cha tuongee asubuhi magazeti kinachorushwa kutoka studio zenu za d’salaam. tatizo lilipo ni kitu kinachoitwa “reverb” inaelekea hiyo studio haina vifaa vya kuzuia hali hiyo, tafadhali rekebisheni.

 3. RE : Website Google Ranking

  Hi,

  We can fairly quickly promote your website to the top of the search rankings with no long term contracts!

  We can place your website on top of the Natural Listings on Google, Yahoo and MSN. Our Search Engine Optimization team delivers more top rankings then anyone else and we can prove it. We do not use “link farms” or “black hat” methods that Google and the other search engines frown upon and can use to de-list or ban your site. The techniques are proprietary, involving some valuable closely held trade secrets.

  Our prices are less then half of what other companies charge.
  We would be happy to send you a proposal using the top search phrases for your area of expertise. Please contact me at your convenience so we can start saving you some money.

  In order for us to respond to your request for information, please include your company’s website address (mandatory) and /or phone number.

  Sincerely,

  Lisa Joseph
  lisadigitalmarketing@gmail.com

  COMPLETE INTERNET MARKETING SOLUTION
  SEO – PPC – SMO – Link Building – Copyright – Web Designing – PHP

 4. Mimi ni mlutheran lakini ijumaa na penda sana kusali Roman catholic na makanisa ya katolic hujaa sana siku ya ijumaa kuu wakati lutheran huwa hakuna watu. kuhiyo tunaomba siku zote za Ijumaa kuu utuletee mahubiri ya Roman catholic.

 5. Agriculturist

 6. Kingamuzi chenu kinashida kila mara no signal sasa ni zaidi ya week hakuna msaada wala taarifaa yoyote kwa mteja wakati nimelipia sipati. Huduma maana yake nini?

 7. Habari ya Kazi, Matangazo yenu huwa yanakata ya TV na Radio kipindi cha kutoka magazetini na muda mnapo jiunga na Radio ujerumani idhaa ya kiswahili.Naomba mliangalie hili na kujua tatizo na kulirekebisha.

 8. Hallow, natumia star times lakini channel yenu ya star TV Tanzania imekuwa ikipotea wakati mwingine hata kwa Siku kadhaa. Sasa ombi langu ni kwamba once mnapokuwa hewani tena jaribuni kutujuza kama was a technical problem or else ili tujue. Kubaki kimya siyo approach ya uungwana.

 9. Habari, ninatumia DSTV muda mwingi mnakuwa mnakatika na kutokuwepo hewani, mtu wenu wa quality control, aangalie hilo, kwa mfano sasa hivi tuongee magazeti

 10. Hi,

  We can fairly quickly promote your website to the top of the search rankings with no long term contracts!

  We can place your website on top of the Natural Listings on Google, Yahoo and MSN. Our Search Engine Optimization team delivers more top rankings then anyone else and we can prove it. We do not use “link farms” or “black hat” methods that Google and the other search engines frown upon and can use to de-list or ban your site. The techniques are proprietary, involving some valuable closely held trade secrets.

  Our prices are less then half of what other companies charge.
  We would be happy to send you a proposal using the top search phrases for your area of expertise. Please contact me at your convenience so we can start saving you some money.

  In order for us to respond to your request for information, please include your company’s website address (mandatory) and /or phone number.

  Sincerely,

  John Smith
  johnseomarketing9@gmail.com

  COMPLETE INTERNET MARKETING SOLUTION
  SEO – PPC – SMO – Link Building – Copyright – Web Designing – PHP

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *