Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Contact Us

210 Maoni

 1. Jamani kwa kweli mnatutesa sana mbona hamrudishi matangazo yenu DSTV?? kama kunatatizo si mnavyombo kibao ya kutujulisha. Kama mmeshindwa kutusaidia ondoeni channel yenu.

 2. Abraham Indieka

  I have been watching Star TV every evening on channel 291 of Dstv but since last week I cannot find it.

  Please advise the new channel on Dstv.

 3. Habari zenu jmny mnatufanyia nini na channel yenu mshatuzowesha na pangako sayo 2 tunaumwa wallahi hatuuoni mchezo yaani fanyeni haraka iwezekanavyo murudi hewani tumemiss mnoo

 4. Guys mbona hamueleweki munatuangusha jamani mara zote star TV ndo wenye matatizo tofauti na channel zote yaani..very disappointing

 5. Habari zenu wahusika. Mimi niko Uganda naangalia sana channel yenu kwenye dstv lakini kama siku nne hivi haiko hewani na mmetuwekea channel 24. Tafadhalini sana tunaomba mturejeshee matangazo ya kawaida

 6. Habari za jumapili. Mimi nikiwa napenda kuangalia vipindi vya star tv nikiwa Lubumbashi DRC na redio free masafa 3377.mbona sasa ni kama siku tatu sion start tv mu me weka chanel ya kiingereza nakusababisha nisijue kinacho endelea nchini kwetu. Tafadhali mrudishe star tv in Dstv.

 7. jamani channel yenu inakatakata kwenye king’amuzi cha Startimes dish.turekebishieni hili tatizo.tumeongea nao wamesema tatizo lipo kwenu

 8. jamani startv mbona hamueleweki na vipindi vyenu maisha ya bongo mmeikata gafla bila taarifa yoyote, the promise mngeongeza hata siku!

 9. Habar zenu startv…Ratiba ya the promise 2 ni mbaya mungeongeza siku ile jumamosi ikawa na jumapili pia pamoja na wakati wa mchana mungeweka the promise 1 ukawa unaenda sambamba baadhi yetu tumeisahau story ya the promise one tunataka tuendeleze kuikumbuka….tafadhalini zingatia ombi hili plzzz wekeni pangako sayo 1 mchana na 2 usiku ila ratiba ungezeni

 10. Dear All,

  I trust you are doing well, I am Sales Manager at Azercosmos for Africa . I got your email from web sait. Azercosmos company is satellite operator and we have own satellite with good coverage over Europe, Central Asia and Africa. I attached some documents for your review. Could we arrange telecom meeting. We have a good offers regarding satellite and teleport services. Just for your information we are planning to launch our new satellite end of the this year(Azerspace-2 45° East). Frequency rang C and Ku Band and coverage Africa, Europe, Central Asia, with high EIRP level (54,55,58 dBW).
  Please redirect me to related person. I am coming 15 May to Tanzania could we meet?
  If arise any questions please let me know.

  Looking forward to hear you.

  Best Regards,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *