Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Contact Us

210 Maoni

 1. Poor report from news about the tournament held in Arusha for Islamic new year Nyerere cup earlier today. Personally present and was surprised to hear poor news from the lady reporter reporting false news whilst knowing the truth. The mentioned winners were not winners but runner up. The real winners where the guys from yellow name Ikhwaa or something. Poor management from the organizers for feeding fake news. Poor report from reporter for giving fake news. Poor tou all.

 2. Iringa redio RFA HAISIKIKI siku ya tatu leo na tatizo linajirudiarudia tatizo nn???

 3. Juma mmbaga nipo iringa redio RFA haisikiki iringa kama siku ya tatu ,na hili tatizo linajirudia rudia mara nyingine inatokea hata wiki mbili ni kwann na mnajipanga vp kulimaliza??redio kubwa na yenye jina kubwa !! Haitakiwi kuwa hivyo!!

 4. Watangazaji wenu tafadhariwawe wanahakiki Maswali kabla ya kwenda studio!
  Mfano leo huyu wa Kipaza Sauti ni Kiraza kwelikweli hawezi tutangazia kuwa Ngorongoro Crater iko Mkoa wa Manyara kumbukeni TV inaonekana mpaka nje ya mipaka ya Tanzania hivyo inatoa taswira mbaya

 5. Hivi hamuoni matatizo kwenye Matangazo yenu maana ni inaenda wiki sasa hatuelewi mnachoonesha

 6. Tunaotumia Ving’amuzi vya Azam MbonaHampatikani huko?

 7. I want to know channel to tv or jungle New Thank you

 8. Hatujafurahishwa na kurudiwa kwa tamthilia ya the promise kutoka epsode ya 30 kwani watazamaji walio wengi tulikuwa tunafuatilia hadi ilipokuwa imefikia.

  Ilitakiwa mungeweka siku maalum kama j5, alhamis na ijumaa kwa ajili ya hao waliotaka irudiwe. Tafadhali tunaomba mlifikirie hilo upya kwa faida ya watazamaji wengi la sivyo mtapoteza mvuto. Asante.

 9. Ndugu mnaondaa na watangazaji wa star TV. Tunapenda sana taarifa zenu. Kinachotukera nikuwa mnatangaza matangazo ya vipindi vya dini wakati wa taarifa ya habari. Please matangazo hayo yanakera. Kwani kila mmoja anaimani tufauti. Je hamuwezi kutangaza kupitia star religion? Kwa star TV habari haina dini. Matangazo hayo yanatisha kwani graphic hizo zinaogopesha watoto. Asante, ndimi kipenzi wa channel ya star TV habari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *