Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Contact Us

210 Maoni

 1. Kama walivyosema wenzangu wengi sisi tunaotumia madish sasa hivi hatuwapati kabisa! Hapa Mtera Bwawani mmetukosesha uhondo wa tamthilia ya My Eternal ilipokuwa inaelekea mwishoni, sijui sasa hivi mna tamthilia gani? Sisi wengine ulevi wetu ni tamthilia.

 2. NIFANYEJE ILI KUPAYA RATIBA YENU YA VIPINDI?

 3. Kwa takriban majuma mawili hivi sasa hamko kabisa hewani, kwa sisi tunaoishi huku Tarime yani hatuoni kabisa Star TV. Sisi tunafikiri nia yenu ni kuonekana inchi nzima kama ilivyokuwa hapo awali, ebu jaribuni kuwaambia hao wanaorusha matangazo yenu waongeze “signal” tuweze kuona tena matangazo yenu. Tunamisi sana Star TV……………!

 4. sipati startv muda sasa. kama kuna mabadiliko kwenye frequency ama symbol rate mnijulishe tafadhali.

 5. DOTTO BULENDU ACHA KUENDELEA KUTUBOA BWANA KTK KIPINDI CHAKO CHA TUONGEE ASUBUHI MADA JICHO LETU NDANI YA HABARI SIKU YA JUMA MOSI. KITENDO CHA KUENDELEA KUMLETA MOSES MATHEW AMBAYO TAYARI TUNAJUA UWEZO WAKE WA KUFIKIRI HAKIKA TUNABOREKA NA KUKERWA SANA. TAMBUA TUNAHITAJI KUPATA AKIRI MPYA ZAIDI YA MOSES. WACHUKUE WADAU WENGINE WENYE UWEZO.

 6. Bryson J. Sabuni

  MAONI @STAR TV>>
  BERNARD JAMES KWANINI HUWA UNA UBAGUZI SANA KTK HABARI ZAKO ZA MICHEZO HASA ZA ULAYA? CHARLES KATOMA & JACOB MARCUS BIG UP!! HUYU BERNADI JAMES NIMEMFUATILIA TAKRIBANI MWAKA WA 4 HUU, ASIDHANI WATU WOTE TUMEKARIRI HABARI ZA UINGEREZA TUU, KWANI TIMU NGAPI ZILICHEZA KTK UEFA CL USIKU WA JANA?? NA II SIO MARA YA KWANZA, INAKERA SANA!! KIUKWELI MPAKA NIKISIKIA “MWANA,MICHEZO WETU WA LEO NI BERNARD JAMES NAJUA TU HAMNA JIPYA KWENYE HABARI ZA ULAYA!!

 7. @George Bundas you are so wise keep it up

 8. habari…… me. natumia EASY TV. mbona star tv haionekani jaman plse kuna tatizoo gani???????

 9. TUNA TATIZO LA SIGNAL HUKU KONDOA MIEZI MIWILI SASA KWA WATAZAMAJI WANAOTUMIA MADISHI. TUNAOMBA MTUELEZE TATIZO NINI AU MMEBADILISHA MASAFA? BILA DISHI HUKU HUWEZI KUPATA TV AU REDIO. TUNAOMBA MTUSAIDIE TAFADHALI MNA VIPINDI VIZURI.

 10. Kwa nini siku hizi,hamko live on line?pia tunaomba mrekebishe signal zenu ARUSHA hatupati matangazo ya STARTV kwa njia ya DISH,na siku ikiwa hewani matangazo yanakatika katika sana.Natumaini mtajali maombi yetu na mtayafanyia kazi kwa wakati.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *