Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Contact Us

210 Maoni

  1. Jamani jiungeni basi na kwenye ZUKU TV

  2. Tunaomba wa2 wa arusha hatupati matangazo sio radio wala king’amuzi inaonesha chaneli moja ya tbc tafadhali 2naomba 2tatulie nini tatizi by caroly kutoka arusha mawasiliano.0762599737

  3. Kweli maoni yetu yatafanyiwa kazi au tunaishia kunasema tu

  4. Jamani kama mumebadili mega haz pamoja na frequence tuambieni, turushieni kwenye email zetu na kwenye websit zenu.tuhurumieni tunakosa rahaaaa kutoka Zanzibar

  5. Tuekeeni mambo sawa tunakosa mambo tamthilia imeanza sisi huku hatuona hata episode ya kwanza, huo ni uonevu tuko Zanzibar

  6. Munatuburudisha,munatufurahisha kwa nini mutufanyie hivyo tuhurumieni wakaazi wa Zanzibar,tunaumia na kukaa unyonge kwa kukosa programu zenu na kutokuwa hewani kwa miezi miwili sasa na wa tatu unakaribia. Jamani tuko Zanzibar kwenye marashi ya karafuu

  7. Jamaniiiiii turekebishieni mitambo tunakosa mambo mengi,tuöneeni huruma na kama mumebadilisha frequence tunakuombeni muturushie ili kupata matangazo tumakuombeni sana sana sana sana sana sana kama munajuwa kuobwa, tunahitaji vipindi tunakosa mambo mengi yanatupita. Jamani hatukueleweni muko wapi msimamo wenu jamani sote ni digitali tumetoka analog kwa nini mutufanyie hivyo huo ni ubaguzi na unyanyasaji wa channel zenu

  8. Jamaniiii! Tunakosa mambo muhimu kama habari,tamthilia,mcheza kwao hutunzwa,bbc swahili,indian flaver na mengine mengi. Jamani ukimuona mtu analalamika ujue limemgusa,linamkera au kuna jambo jamanii star hatupati huku kwetu twambieni tatizo kitu gani tunataka kujua, Zanzibar hapa

  9. Jamani tuambie sasa yafika miezi miwili hatupati matangazo yeni namaanisha mawasiliano ya vipindi hatupati tatizo kitu gani km digital ndio tunatumia tena ni dishi sasa inakuaje tunakosa mawasiliano bila ya taarifa yoyote ile kuna wengine hatuwezi kukosa startv kwa sababu munajua kuendesha vipindi kwa mpangilio na programu zenu ni nzuri sanaaaa huwezi kutumia dishi na dikoda wakati vyote ni digitali,tunatumia dishi kwa sababu uwezo wa kulipia dekoda haupo. Jamani tuoneeni hurumaaaaa sisi ni wakaazi wa Zanzibar

  10. duh wakimalizia watu watalia na kupiga tv

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *