Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Habari / Michezo na Burudani / Frank Lampard Nje ya uwanja kwa wiki tatu ligi kuu marekani
May 21, 2016; New York, NY, USA; New York City FC midfielder Frank Lampard (8) reacts against the New York Red Bulls during the second half at Yankee Stadium. The Red Bulls defeated New York City 7-0. Mandatory Credit: Brad Penner-USA TODAY Sports

Frank Lampard Nje ya uwanja kwa wiki tatu ligi kuu marekani

May 21, 2016; New York, NY, USA; New York City FC midfielder Frank Lampard (8) reacts against the New York Red Bulls during the second half at Yankee Stadium. The Red Bulls defeated New York City 7-0. Mandatory Credit: Brad Penner-USA TODAY Sports

Kiungo mkongwe Frank Lampard anatarajiwa kuwa nje ya uwanja wa wiki tatu hadi nne kwa sababu ya kuumia kiazi cha mguu katika mechi ya ligi kuu ya Marekani MLS huku timu yake ya New York City ikitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Dallas jumapili iliyopita.

Kiungo huyo wa zamani wa kimataifa wa England amekuwa katika kiwango bora kwenye timu ya New York City kwa kupachika mabao 12 alipata dhoruba ya kuumia hivyo atakuwa nje.

Lampard aliyechini ya kocha Patrick Viera ameiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya tatu Jimbo la mashariki huku timu hiyo ya New York City ikiwa imesaliwa na mechi nne.

Taarifa zinabainisha Lamapard atakuwa nje kwa mujibu wa timu ya madaktari lakini maumivu yake si makubwa na wana matumaini atapona haraka.

#StarTvTanzania

Kuhusu Emmanuel Minga

Check Also

Arusha wasusia uchaguzi wa viongozi

Chama cha riadha mkoa wa Arusha kimepinga kufanyika kwa uchaguzi wa viongozi wa shirikisho la …

Kuimarishwa uwanja wa Nyamagana

Mipango ya kuendeleza soka la vijana huenda ikawa na tija endapo tu serikali chini ya …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *