Tuesday , October 17 2017
Mwanzo / Habari / Kitaifa / Hii ni Orodha ya nchi zinazoongoza kwa Idadi kubwa ya watu duniani.

Hii ni Orodha ya nchi zinazoongoza kwa Idadi kubwa ya watu duniani.

overpopulated

Idadi ya watu mara ya kwanza ilianza kuhesabiwa mwaka 1950 na kulikadiliwa kuwa dunia ina watu Bilioni 2.5 lakini pia kwa mujibu wa tafiti ambazo zimefanyika kwa kulinganisha na ongezeko la watu inaelezwa kuwa hadi kufikia mwaka 2050 dunia itakuwa na watu Bilioni 9.5 na hadi kufika mwaka 2100 kutakuwa na watu Bilioni 10.8.

Kutokana na takwimu za mwaka 2016, Hii hapa orodha ya nchi 10 ambazo zinatajwa kuwa na idadi kubwa ya watu duniani.
1. China – Bilioni 1.382
2. India – Bilioni 1.327
3. Marekani – Milioni 324
4. Indonesia – Milioni 260
5. Brazil – Milioni 209
6. Pakistan – Milioni 192
7. Nigeria – Milioni 187
8. Bangladesh – Milioni 162
9. Urusi – Milioni 143
10. Mexico – Milioni 128

Kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki, (katika mabano ni nafasi ya dunia);
1. (24) Tanzania – Milioni 55
2. (29) Kenya – Milioni 47
3. (35) Uganda – Milioni 40
4. (75) Sudani Kusini – Milioni 12
5. (76) Rwanda – Milioni 11.8
6. (77) Burundi – Milioni 11.5

Kuhusu Emmanuel Minga

Check Also

Makambako yatengewa bilioni 2 za mradi wa maji.

SERIKALI imetenga shilingi bilioni mbili (2) kwaajili ya kusaidia kutatua tatizo la maji katika mji …

Prof. Palamagamba na Majula Bulembo wateuliwa nafasi ya ubunge.

3 Maoni

  1. Nini mustakabali wa dunia?

  2. Huu ndiyo muda muafaka wa serikali yetu kuangalia namna ya kutumia idadi kubwa ya watu tulionao kwa faida na siyo siyo kulalamika na kuweka sera hewa na zisizo na muelekeo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *