Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Habari / Biashara na Uchumi / India yazindua smartphone ya bei rahisi zaidi duniani.

India yazindua smartphone ya bei rahisi zaidi duniani.

smart

Kupata simu ya bei rahisi zaidi duniani aina ya smartphone sio rahisi.
Freedm 251 ni simu ya Android iliotengazwa na kampuni ya Ringing Bells kutoka India na inagharimu Rupee 251 sawa na Shilingi 8118 za kitanzania
Unapoibeba kwenye mkono utahisi umebeba simu ya kampuni ya Apple aina ya iPhone 5.
Na kulingana na bei yake ina programu za kuvutia.
Kamera ya mbele na nyuma.

simu
Ina upana wa nchi nne.Ina programu ya Quad-core inayotoa nguvu ya operesheni ya simu hiyo lakini haitumii betri yake mara nyengine.
Kuna aina mbili moja ya simu hizo nyeusi na moja nyeupe.Unapoitumia inafanya kazi kama smartphone ya kawaida.
Hatahivyo ni vigumu kuipima uwezo wake kwa kuwa ina programu chache ambazo hufanya kazi za kawaiada.

Kuhusu Emmanuel Minga

Check Also

KAZI ZA SANAA NCHINI: Utafiti duni wachangia kushusha ubora wake

Katibu mtendaji wa bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fisso anasema wasanii wa maigizo nchini hawana …

WALIONUNUA VIWANDA MKOANI MARA

Mkuu wa mkoa wa Mara Dokta Charles Mulingwa amewataka wawekezaji waliouziwa viwanda na serikali mkoani …

2 Maoni

  1. This cell phone created somewhat controversy in India as people are thinking that there may be some fraud behind the phone.

  2. hongera india

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *