Wednesday , October 18 2017
Mwanzo / Tag Archives: Afya

Tag Archives: Afya

Vifo vya watoto njiti bado vyaikabili Tanzania

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema Tanzania bado ina changamoto ya tatizo la vifo vya watoto njiti ambapo kati ya watoto 210,300 wanaozaliwa kwa mwaka zaidi ya watoto 13,900 hupoteza maisha kwa sababu mbalimbali. Watoto hao wanadaiwa kupoteza maisha ndani ya wiki nne za kwanza baada ya kuzaliwa …

Soma Zaidi