Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Tag Archives: biashara

Tag Archives: biashara

Wafanyabiashara walioificha sukari wafanyiwa maombi maalumu..

Askofu wa Good News for all Ministry Dokta Charles Gadi amefanya maombi maalumu ya kuwafungua wafanyabiashara wa sukari nchini walioficha bidhaa hiyo ili kuacha tabia hiyo inayowatesa watanzania. Kupitia maombi hayo ametoa siku tatu za kuwataka wafanyabiashara hao kuitoa sukari ambayo itahitajika zaidi hususani katika kipindi hiki ambacho waislamu wanatarajia …

Soma Zaidi

Wakazi wa Chimala Mbeya wabuni mikopo bila Riba

Wakazi wa Kata ya Chimala wilayani Mbarali mkoani Mbeya wameanzisha utaratibu wa kukopeshana fedha za maendeleo bila riba ili kukabiliana na changamoto ya masharti magumu ya upatikanaji wa mikopo kutoka kwenye taasisi za fedha nchini. Utaratibu huo unaoitwa NDILO huwawezesha wakazi hao kuchangishana fedha kila mwezi na kumpa mmoja miongoni …

Soma Zaidi