Sunday , September 24 2017
Mwanzo / Tag Archives: Kimataifa

Tag Archives: Kimataifa

Obama awataka wakuu wa Republican wajitenge na Trump

  Rais wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa viongozi wakuu wa chama cha Republican kuondoa rasmi uungaji mkono wao kwa mgombea wa chama hicho Donald Trump.   Akiongea katika mkutano wa kampeni wa kumuunga mkono mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton, Bw Obama amesema haina maana kukemea matamshi …

Soma Zaidi

Video ya raia wa Uganda akiuwawa na polisi Marekani yatolewa

Polisi katika mji wa Marekani San Diego wametoa mkanda wa video ya mwanamme mweusi aliyepigwa risasi na kuuwawa na polisi siku ya jumanne. Video hiyo inaonyesha maafisa wawili wa polisi wakimkaribia Alfred Olango – mkimbizi kutoka Uganda – ambaye hakuwa amejihami, kabla ya mmoja wao kumfyatulia risasi katika mtaa wa …

Soma Zaidi

Mshukiwa wa shambulio New York alisifu Islamic State

Waendesha mashtaka nchini Marekani wamemfungulia mashtaka Ahmad Khan Ramani kwa kutega mabomu huko New York na New Jersey mwishoni mwa wiki ambapo mlipuko mmoja ulijeruhi watu 31. Waendesha mashtaka wanasema kuwa Bw Rahami ambaye ni mhamiaji kutoka Afghanistan, alinunua vifaa na vitu vya kuunda bomu kupitia kwa mtandao na kuandika …

Soma Zaidi

Marekani yaitupia lawama Urusi, shambulio la Syria

Marekani imesema ndege za kivita za Urusi zilihusika kushambulia msafara wa misaada nchini Syria siku ya Jumatatu na kusababisha vifo. Maafisa wa Marekani wameiambia BBC ndege mbili za kivita za Urusi aina ya SU-24, zilikuwa angani, sambamba na msafara huo wa magari, wakati tukio hilo likitokea. Hata hivyo Urusi imekana …

Soma Zaidi

George HW Bush kumpigia kura Clinton

Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican George HW Bush amesema kuwa atampigia kura mgombea wa urais kupitia tiketi ya Democrat Hillary Clinton. Bwana Bush amedaiwa kutoa ahadi hiyo kwa Kathleen Kennedy Townsend, mpwa wa rais wa zamani nchini humo John F Kennedy. Afisi ya …

Soma Zaidi

Afcon 2017: Uganda yafuzu kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1978

Uganda imefuzu kwa mara ya kwanza kucheza katika fainali za Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza tangu 1978 baada ya kulaza Comoros Jumapili. Ushindi wao wa 1-0 uliwawezesha kufuzu kwa fainali zitakazochezewa Gabon mwaka ujao kama mojawapo wa mataifa mawili bora yaliyomaliza ya pili katika makundi. Wapinzani …

Soma Zaidi

Kiir akubali wanajeshi wa UN watumwe Juba, Sudan Kusini

Rais wa Sudan Kusini hatimaye amekubali kikosi cha ziada cha wanajeshi wa kulinda amani kitumwe nchini humo. Rais Salva Kiir alichukua hatua hiyo baada ya kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Bw Kiir alikuwa awali amekataa kutumwa kwa wanajeshi hao 4,000 kutoka mataifa …

Soma Zaidi

UN yahimiza kuwepo utulivu Gabon

Umoja wa Mataifa umezihimiza kuwepo kwa utulivu nchini Gabon baada ya fujo kuzuka kuhusiana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais. Baraza la Usalama la umoja huo limetoa wito kwa wagombea wakuu na wafuasi wake kujizuia kufanya uchokozi na kutatua mzozo wa sasa kupitia njia za kisheria. Maafisa wa …

Soma Zaidi